Mbege ifanywe pombe ya Taifa tu hakuna namna

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Wakati tunataka vazi la Taifa basi mbege ifanywe iwe pombe au kinywaji cha taifa

Kiukweli hakuna kama mbege!! Tena upate iliyolala siku 3 daaaah

Wakuu hakuna kitu kizuri kama mbege yaani unalewa kistar yaani

Ni pombe nzuri sijapata kuona

Aliyevumbua hichi kinywaji ana nafasi yake huko mbinguni ni miongoni mwa burudani amaizing sana

Mbege shikamoo toka nimekuja Moshi nimesahau chai na majuisi na ni mbege tu na kushushia na bia baridi

Kiukweli maisha ya December Moshi ni maisha matamu sana aisee mimi sijui ingekuaje nisingezaliwa huu mkoa teh teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila Mbege ni tamu sana, ni nzuri na bora kwa afya sijui kama nitakuja niache mbege!!
 
Huo utumbo wako utakuwa umeoza na kutoa funza. Kapime
 
Konyagi wao wamechukua ideas ya pombe za Kizaramo (Gongo) wakazalisha hii. Ni vyema makampuni mengine yakaiga. Sikosei zile pombe za Banana ndio idea ya mbege
images (2).jpeg
 
Ukute ina msesewe na ulezi ule wa kusaga. Kitu kinasoma 39% vol
 
Tangu lini mbege ikawa pombe yaani unakunywa mbege unalewa, wewe ni mtu au maiti?

Ukinywa gongo au katafunua si utafirrrrrwa wewe!
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu kama ume comment kwa hasira saana ila ndo umemchana ukweli
 
Wakati tunataka vazi la Taifa basi mbege ifanywe iwe pombe au kinywaji cha taifa

Kiukweli hakuna kama mbege!! Tena upate iliyolala siku 3 daaaah

Wakuu hakuna kitu kizuri kama mbege yaani unalewa kistar yaani

Ni pombe nzuri sijapata kuona

Aliyevumbua hichi kinywaji ana nafasi yake huko mbinguni ni miongoni mwa burudani amaizing sana

Mbege shikamoo toka nimekuja Moshi nimesahau chai na majuisi na ni mbege tu na kushushia na bia baridi

Kiukweli maisha ya December Moshi ni maisha matamu sana aisee mimi sijui ingekuaje nisingezaliwa huu mkoa teh teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila Mbege ni tamu sana, ni nzuri na bora kwa afya sijui kama nitakuja niache mbege!!
Acha kunywa UCHAFU.
 
Back
Top Bottom