Mbegu bora ya mbuzi wa nyama

Mbegu bora ya mbuzi wa nyama

..Jaribu kuwasiliana na kituo cha Taliri [ Tanzania Livestock Research Institute ]kilicho karibu na wewe.

..Vituo vya Taliri " al maarufu " kwa uzalishaji wa mbuzi ni vile vilivyoko Mpwapwa na Kongwa.

..Na mbuzi wanaozalishwa na vituo hivyo ni mbuzi aliyeboreshwa aina ya blended/malya.

..Kuhusu mbuzi huyo kama anazaa mapacha, au la, nakushauri uwatafute wataalamu walioko Kongwa au Mpwapwa.

..Unaweza kuwaandikia Taliri Mpwapwa kwa kutumia mpwapwa@taliri.go.tz , na Kongwa kwa kutumia kongwa@taliri.go.tz, pia namba za Taliri makao makuu ni +255 713 483 126 / +255 786 191 049

NB:

..usisahau kutuletea mrejesho wa hatua kwa hatua kuhusu safari yako ya kufuga mbuzi wa nyama.

..
Mkuu Mbuzi hawa wanapatikana zaidi Wilaya ya Bihalamuro - Kagera (Kuanzia Runzewe, Nyakanazi) na baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Kasulu-Kigoma.
Wakuu habari ya mda mrefu
Asante sana kwa mchango wenu
Nimefuatilia kwa Talili wakanipa mrejesho kuwa kwa sasa kuna mbegu ambayo wanaifanyia tafiti kwa sasa so nasubiri mda wa research ukamilike &
Lkn nimeenda runzewe_Namonge - GEITA nimefanikiwa kupata asante sana
IMG_20210629_140743_385.jpg
 
Mbuzi wa Nyama wapo wa aina nyingi , lakini iliyo maarufu kwetu ni Galla/Isiolo au Boer. Sasa sijui wewe unataka kufuga yupi kati ya hao.
Chakwanza ningekushauri ujue aina ya Mbuzi unaetaka kufuga, Pili uangalie mbegu zilizo bora katika uzalishaji, Tatu maeneo ya ufugaji hasa malisho na ukaribu na wakulima ili isikuletee usumbufu wakati wa uchungaji. Nne ujue uantaka kufuga ktk muundo gani kati ya kuwalishia ndani au kuwachunga mchana na usiku wana rudi bomani,
Hapa naamini utaweza kujuwa mahala pa kuanzia .
Asante mkuu kwa sasa nime fuatilia & nimeona wataalamu wengi wanafanya kuchukua mbuzi wa kienyeji & ku cross breed ili kupata Chotara walio bora nimeanza na kienyeji kwanza nashukuru kwa ushauri
 
Kusema kweli nimeshangaa na mtu huyu mjinga anahitaji kuelimishwa kiasi gani. Sisi tunajadili mambo serious ya maisha yetu halafu mtu anakuja na picha ya ku download mtandaoni? Kama unaona jambo halikuhusu chukua muda wako fanya mambo yako waache wenye nia zao wasonge mbele.
Fanya mazoezi ya kutembea tembea jioni mother, kupunguza stress. Vinginevyo utakufa huku umekaa bila sababu
 
Back
Top Bottom