Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Huyu ndio ccm wanasemaga tunavita nao kiuchumi?Mimi nina mbegu hii.View attachment 1640836
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndio ccm wanasemaga tunavita nao kiuchumi?Mimi nina mbegu hii.View attachment 1640836
..Jaribu kuwasiliana na kituo cha Taliri [ Tanzania Livestock Research Institute ]kilicho karibu na wewe.
..Vituo vya Taliri " al maarufu " kwa uzalishaji wa mbuzi ni vile vilivyoko Mpwapwa na Kongwa.
..Na mbuzi wanaozalishwa na vituo hivyo ni mbuzi aliyeboreshwa aina ya blended/malya.
..Kuhusu mbuzi huyo kama anazaa mapacha, au la, nakushauri uwatafute wataalamu walioko Kongwa au Mpwapwa.
..Unaweza kuwaandikia Taliri Mpwapwa kwa kutumia mpwapwa@taliri.go.tz , na Kongwa kwa kutumia kongwa@taliri.go.tz, pia namba za Taliri makao makuu ni +255 713 483 126 / +255 786 191 049
NB:
..usisahau kutuletea mrejesho wa hatua kwa hatua kuhusu safari yako ya kufuga mbuzi wa nyama.
..
Wakuu habari ya mda mrefuMkuu Mbuzi hawa wanapatikana zaidi Wilaya ya Bihalamuro - Kagera (Kuanzia Runzewe, Nyakanazi) na baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Kasulu-Kigoma.
Asante mkuu kwa sasa nime fuatilia & nimeona wataalamu wengi wanafanya kuchukua mbuzi wa kienyeji & ku cross breed ili kupata Chotara walio bora nimeanza na kienyeji kwanza nashukuru kwa ushauriMbuzi wa Nyama wapo wa aina nyingi , lakini iliyo maarufu kwetu ni Galla/Isiolo au Boer. Sasa sijui wewe unataka kufuga yupi kati ya hao.
Chakwanza ningekushauri ujue aina ya Mbuzi unaetaka kufuga, Pili uangalie mbegu zilizo bora katika uzalishaji, Tatu maeneo ya ufugaji hasa malisho na ukaribu na wakulima ili isikuletee usumbufu wakati wa uchungaji. Nne ujue uantaka kufuga ktk muundo gani kati ya kuwalishia ndani au kuwachunga mchana na usiku wana rudi bomani,
Hapa naamini utaweza kujuwa mahala pa kuanzia .
Duh mkuu huyo ni mbuzi au ng'ombeMimi nina mbegu hii.View attachment 1640836
🤣🤣🤣Duh mkuu huyo ni mbuzi au ng'ombe
Hii itakuwa sio ya nyama sasa. Itakuwa mbegu ya mapambo na vitaMimi nina mbegu hii.View attachment 1640836
Fanya mazoezi ya kutembea tembea jioni mother, kupunguza stress. Vinginevyo utakufa huku umekaa bila sababuKusema kweli nimeshangaa na mtu huyu mjinga anahitaji kuelimishwa kiasi gani. Sisi tunajadili mambo serious ya maisha yetu halafu mtu anakuja na picha ya ku download mtandaoni? Kama unaona jambo halikuhusu chukua muda wako fanya mambo yako waache wenye nia zao wasonge mbele.