Mbegu bora ya mbuzi wa nyama

Mkuu Mbuzi hawa wanapatikana zaidi Wilaya ya Bihalamuro - Kagera (Kuanzia Runzewe, Nyakanazi) na baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Kasulu-Kigoma.
Wakuu habari ya mda mrefu
Asante sana kwa mchango wenu
Nimefuatilia kwa Talili wakanipa mrejesho kuwa kwa sasa kuna mbegu ambayo wanaifanyia tafiti kwa sasa so nasubiri mda wa research ukamilike &
Lkn nimeenda runzewe_Namonge - GEITA nimefanikiwa kupata asante sana
 
Asante mkuu kwa sasa nime fuatilia & nimeona wataalamu wengi wanafanya kuchukua mbuzi wa kienyeji & ku cross breed ili kupata Chotara walio bora nimeanza na kienyeji kwanza nashukuru kwa ushauri
 
Fanya mazoezi ya kutembea tembea jioni mother, kupunguza stress. Vinginevyo utakufa huku umekaa bila sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…