Mbegu ninazotoa kila siku zinaniuma

Mbegu ninazotoa kila siku zinaniuma

moses musa

Senior Member
Joined
Apr 25, 2017
Posts
164
Reaction score
97
Wakuu nipo kwenye game LA kutafuta mtoto mwaka wa huku 2,cha ajabu,xna nukikumbuka mbegu znazopotea kichwa chaniuma,mwanzo nilikuwa na x alipata mimba yangu ,mi sikujua nikasafiri mwaka mmoja,kurudi nikakuta ameolewa ,alipopata habari nmerudi akanitafuta,kwa uchungu mwingi akaniambia ,nmekaa na siri ya dhambi moyoni inaniuma,nikamuuliza nn ,akaniambia ametoa mimba ya miez 3,kunusuru ndoa take mpya ,akasema nisamehe ,Leo nahisi kutua mzigo maana nmekuona niliye kukosea ,(alisema hayo huku machozi yakimwagika )Leo SNA mtoto nimekuwa nkimtamani kila mwanamke mjamzito namkumbuka x wa mwanzo,kuchepuka naogopa nahisi kila nmuonaye AME effect, msaada wakuu
 
Mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu mkuu ongea nae kwa imani yako pia chezeni muda wote siku nzuri za kushika mimba na nyingine utafanikiwa
 
Mkuu jaribu kuandika huu uzi vizuri alafu uniite. Napata tabu sana kuelewa ulichoandika
Mbegu ninazotoa zinaniuma kazi inayofanyika ni kubwa but haina faida sipati mtoto OK,dada T-bagwell
 
Mbegu ninazotoa zinaniuma kazi inayofanyika ni kubwa but haina faida sipati mtoto OK,dada T-bagwell
Mkuu Mimi ni msela sio dada, avatar isikuchanganye

Wewe na mwenza wako mngeenda kupima afya zenu za uzazi tatizo lijulikane lipo wapi?

Je ulisjawahi kujaribu kwa mtu mwingine pia akashindwa kushika mimba?
 
Kimsingi jaribu kuwa mpole na umtegemee Mungu . Kwa yaliyo kupata kwa x wako ndio yaliyo nikuta kwa x wangu. Nimeoa tangu 2014 lkn Mwenyezi Mungu ndio kanijalia sasaiv mke wangu ana ujauzito. Kwahiyo usikate tamaa. Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wenye subira
 
Mbegu ninazotoa zinaniuma kazi inayofanyika ni kubwa but haina faida sipati mtoto OK,dada T-bagwell
Mbegu zinakuuma kwa7bu gani mkuu!hizo Mungu kaziweka automatically zikutoke kila utakapofanya tendo la kusisimua maungo yako ya chini alimradi uwe unakula vizuri pia kumbuka sio kila tendo la ndoa/ngono husababisha mimba...mie sio doctor ila nilisikia mahali kwamba kama wana ndoa wanatafuta mtoto na hawapati basi wabadilishe timetable yao ya ufanyaji tendo kwa kitambo kidogo,kama mwezi hivi msifanye ili wewe kuwa na mbegu strong zitakazoleta matokeo tarajiwa huku wewe baba ukila vyakula vyenye virutubisho mazoezi kidogo huku bibie nae akiziangalia kwa umakini zile siku zake barikiwa akiona hizi hapa mnaingia mchezoni.pia msali kwa imani yenu ktk hili hitaji lenu mengine Mungu ataweka mkono wake kwani kuzaa au kutokuzaa ni juu yake.pia kama walivyoshauri wadau huko juu jaribuni kwenda ku-check afya zenu mtaweza shauriwa zaidi njia za kufanya.nakutakia mafanikio ktk mahangaiko yako ktk jambo hili.
 
Kimsingi jaribu kuwa mpole na umtegemee Mungu . Kwa yaliyo kupata kwa x wako ndio yaliyo nikuta kwa x wangu. Nimeoa tangu 2014 lkn Mwenyezi Mungu ndio kanijalia sasaiv mke wangu ana ujauzito. Kwahiyo usikate tamaa. Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wenye subira
Tatizo ndoa zetu za ki-Africa mkikaa miezi 7 wife hajaanza kutema mate na kuanza kutamani visivyotamanika tayari ndugu wanaanza visirani,kuanzia mama mpaka dada maneno yanaanza at least baba hatonyanyua mdomo mapema kuzungumza.hii ndiyo inayowapa wana ndoa pressure kuhangaikia uzazi bila kujua Mungu ana mipango yake.
 
Hilo nalo ni tatizo kubwa. Ni swahihi kabisa hasa hawa wa jinsia ya kike ni tatizo kwenye ndoa endapo utawapa nafasi ya kuingilia mambo ya kifamilia yako.
 
Tafuta mke uoe ndo mengine tafuate
 
Exactly mkuu! Binafsi Nina ushahidi juu ya hili! Nilitafuta mtoto kwa muda usiopungua miaka 2.5 bila mafanikio! Lkn tukienda kupima tunaambiwa wote tuko vizuri. Ndipo nilikutana na mshauri ambaye aliniambia tupunguze kufanya mapenzi km starehe,Balitufanye kwa ttarget. Mfano tangia mama anapoingia siku msikutane mpaka siku ya 11,12,13 na 14 effectively.
Nikafanya jaribio la kwanza likafeli, la pili likakubari. So punguzeni kufanyafanya wakati huo mkijiweka sawa kwa misosi ya maana na matunda. Mungu atasikia maombi yenu.
 
Kuwa na subira ila jaribu kuangalia Mwenza wako mzunguko ukoje, je 28, 30,32,35 maana kila mzunguko una siku zake
 
Nendeni hospital nadhani baada ya vipimo mutapewa antibiotics za kutumia na huenda swala lenu litakwisha
 
Back
Top Bottom