moses musa
Senior Member
- Apr 25, 2017
- 164
- 97
Wakuu nipo kwenye game LA kutafuta mtoto mwaka wa huku 2,cha ajabu,xna nukikumbuka mbegu znazopotea kichwa chaniuma,mwanzo nilikuwa na x alipata mimba yangu ,mi sikujua nikasafiri mwaka mmoja,kurudi nikakuta ameolewa ,alipopata habari nmerudi akanitafuta,kwa uchungu mwingi akaniambia ,nmekaa na siri ya dhambi moyoni inaniuma,nikamuuliza nn ,akaniambia ametoa mimba ya miez 3,kunusuru ndoa take mpya ,akasema nisamehe ,Leo nahisi kutua mzigo maana nmekuona niliye kukosea ,(alisema hayo huku machozi yakimwagika )Leo SNA mtoto nimekuwa nkimtamani kila mwanamke mjamzito namkumbuka x wa mwanzo,kuchepuka naogopa nahisi kila nmuonaye AME effect, msaada wakuu