Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,326
- 5,374
Habari za weekend ndugu zangu
Anayesumbuliwa na acid reflux atafute hizo mbegu kiswahil zinaitwa habat soda English zinaitwa black seeds....nimbegu ndogo ndogo nyeusi tii kama mkaa ukiziona haraka haraka utahis ni punje za mkaa....hiz mbegu nzur sana kwa acid reflux mimi binafsi zilinisaidia ....nilitumia nusu kijiko cha chai unazitafuna ni laini then unameza unashushia na maji....unatumia asubuh kabla hujala usiku wakat wa kulala