Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,326
- 5,374
Duh kuhara tenaHizi ndio zile ukila unaharisha hadi dhambi?
Hapana hazina io effectDuh kuhara tena
Ipo pichaAsanteee mjumbee, una picha yake tusijeuziwa mkaa huko duniani
Picha boss tusije hara bibieHapana hazina io effect
Ipo mbona
Mbona kama mbegu za mchongoma mshkajiIpo picha
unasemea Habat Mulk hahaHizi ndio zile ukila unaharisha hadi dhambi?
Yaani hakikisha siku iyo upo nyumbani...Habari za weekend ndugu zangu
Anayesumbuliwa na acid reflux atafute hizo mbegu kiswahil zinaitwa habat soda English zinaitwa black seeds....nimbegu ndogo ndogo nyeusi tii kama mkaa ukiziona haraka haraka utahis ni punje za mkaa....hiz mbegu nzur sana kwa acid reflux mimi binafsi zilinisaidia ....nilitumia nusu kijiko cha chai unazitafuna ni laini then unameza unashushia na maji....unatumia asubuh kabla hujala usiku wakat wa kulala
... jamaa yangu mmoja alidanganywa akakapa katoto kake chini ya miaka kumi! ... aisee yaani asingewahi hospitali alikuwa anazika! (Huyo binti sasa hivi anamalizia mafunzo ya shahada ya udaktari wa binaadam!)Habari za weekend ndugu zangu
Anayesumbuliwa na acid reflux atafute hizo mbegu kiswahil zinaitwa habat soda English zinaitwa black seeds....nimbegu ndogo ndogo nyeusi tii kama mkaa ukiziona haraka haraka utahis ni punje za mkaa....hiz mbegu nzur sana kwa acid reflux mimi binafsi zilinisaidia ....nilitumia nusu kijiko cha chai unazitafuna ni laini then unameza unashushia na maji....unatumia asubuh kabla hujala usiku wakat wa kulala
Ooooh! Basi hilo jina la habat ndilo lilinichanganya.unasemea Habat Mulk haha
hii ni habat sauda View attachment 3598693
hii ndo hiyo habat mulki kiboko ya mambo yote ahahhaah hapa chini
View attachment 3598694
Mimi nilitumia sikuendesha mbonaYaani hakikisha siku iyo upo nyumbani...
Uta harisha mpaka utalala chooniiii..Kuna jamaa alinipa
Mimi nilitumia sikuendeshaYaani hakikisha siku iyo upo nyumbani...
Uta harisha mpaka utalala chooniiii..Kuna jamaa alinipa
Sikuendesha ila tu huwa inaleta kichefuchefu kwa muda mfupi pindi tu ukimezaYaani hakikisha siku iyo upo nyumbani...
Uta harisha mpaka utalala chooniiii..Kuna jamaa alinipa
AfadhaliMimi nilitumia sikuendesha mbona
Hua inatabia ya kushusha presha kama ana presha ya kushuka asitumieAfadhali
Acid inanitesa Sana nishatumia madawa kibao bila majibu.
Mzee wangu anasumbuliwa na sukari sijui inaweza pia kumsaidia?