Mbegu za habbat soda au black seeds dawa ya haraka ya acid reflux

Naomba kujua huu ugonjwa wa acid reflux kwa kiswahili unaitwaje? Unasababishwa na nini?
Nimeona sasa hivi watu wengi wakiuzungumzia kuliko miaka ya nyuma, je nini kimefanya sasa hivi ugonjwa huu uathiri watu wengi zaidi kuliko zamani? Je babu zetu walisumbuliwa pia na hii shida? Walitumia nini kujitibia? Asante
 
Asante mkuu. Zinapatikana wapi?
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Mm pia nimetumia ile ya mafuta kutoka Ethiopia 🇪🇹 nilikua nasumbuliwa na chembe y moyo kwisha kabisa. Huu mwaka w 2. Lakini mpk ss cjaacha kutumia. Na pia ni nzr kwa wababa mno. Majibu yake yako sahihi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Yes nzur sana hata kwa wanawake ina activate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…