Muulize uliyempigia Kura 2020Nahitaji mbegu za mahindi DKC 777, DKC 90/89 lakini hazipatikani Karagwe, Ngara, Missenyi na Bukoba.
Aliye na taarifa zilipo naomba anifahamishe pamoja na bei.
Sikupiga.Muulize uliyempigia Kura 2020
Siku hizi wizara ya Kilimo ya Bashe na Mama Samia ina "customer care", kwa mara ya kwanza Tanzania.Nahitaji mbegu za mahindi DKC 777, DKC 90/89 lakini hazipatikani Karagwe, Ngara, Missenyi na Bukoba.
Aliye na taarifa zilipo naomba anifahamishe pamoja na bei.
Asante.Siku hizi wizara ya Kilimo ya Bashe na Mama Samia ina "customer care", kwa mara ya kwanza Tanzania.
Piga simu hiyo uhudumiwe: Tel: +255 733 800 200
Hivibado hamjazielewa R 4 za mama? Kuna mabadiliko ya ukweli.
Rudia kunisoma kipande hiki:Asante.
Nitawatafuta kesho.
Kumuelewa Bashe na mama unamaanisha nini?
Naomba ufafanuzi.Rudia kunisoma kipande hiki:
Hivi bado hamjazielewa R 4 za mama? Kuna mabadiliko ya ukweli.
Hiyo ni bei ya DK?Njoo sumbawanga uku kilo mbil 16000
Unamaanisha nini ndugu yangu?mbegu za nini muda huu kutafutana lawama tuh na kuharibiana kazi tuh
kilo 10Nje ya madam: naomba kujua ekari Moja inachukua kiasi gani cha mbegu ya mahindi?
unalima kwa hii vuli DK au yakuchoma kwa kunyeshea, mana saivi tuko kwenye kununua mazao mashambani kwa wakulima mkuuUnamaanisha nini ndugu yangu?
Mbegu zinatafutwa lini?
Huku mvua za vuli ndipo zimeanza.unalima kwa hii vuli DK au yakuchoma kwa kunyeshea, mana saivi tuko kwenye kununua mazao mashambani kwa wakulima mkuu
Nataka nipande mara mvua ikichanganya.unalima kwa hii vuli DK au yakuchoma kwa kunyeshea, mana saivi tuko kwenye kununua mazao mashambani kwa wakulima mkuu
vuli haitabiriki kama unawakaika wa maji ya kunyeshea sawa...lakini ungeweka mbegu ya muda mfupi zaidi kama zile chapa tumbili japo mahindi yake ni kidogo sanaNataka nipande mara mvua ikichanganya.
Ni ya kula ugali.
Falsafa ya uongozi wa mama Samia ni hizo R 4 mojawapo ni mabadiliko.Naomba ufafanuzi.
Mimi mkulima hilo limenipiga chenga.
Nisaidie.
Mkuu mimi naomba unishauri, Namtumbo ni mbegu gani za mahindi zinafaa kupandwa ukanda ule????vuli haitabiriki kama unawakaika wa maji ya kunyeshea sawa...lakini ungeweka mbegu ya muda mfupi zaidi kama zile chapa tumbili japo mahindi yake ni kidogo sana
Hata ndege ya Rais 5H-ONE imeadimika nchini. Imezuiwa Dubai.Nahitaji mbegu za mahindi DKC 777, DKC 90/89 lakini hazipatikani Karagwe, Ngara, Missenyi na Bukoba.
Aliye na taarifa zilipo naomba anifahamishe pamoja na bei.