Mbegu za mahindi zimeadimika

Mbegu za mahindi zimeadimika

Nahitaji mbegu za mahindi DKC 777, DKC 90/89 lakini hazipatikani Karagwe, Ngara, Missenyi na Bukoba.
Aliye na taarifa zilipo naomba anifahamishe pamoja na bei.
Siku hizi wizara ya Kilimo ya Bashe na Mama Samia ina "customer care", kwa mara ya kwanza Tanzania.

Piga simu hiyo uhudumiwe: Tel: +255 733 800 200

Hivibado hamjazielewa R 4 za mama? Kuna mabadiliko ya ukweli.
 
Asante.
Nitawatafuta kesho.
Kumuelewa Bashe na mama unamaanisha nini?
 
Nataka nipande mara mvua ikichanganya.
Ni ya kula ugali.
vuli haitabiriki kama unawakaika wa maji ya kunyeshea sawa...lakini ungeweka mbegu ya muda mfupi zaidi kama zile chapa tumbili japo mahindi yake ni kidogo sana
 
Naomba ufafanuzi.
Mimi mkulima hilo limenipiga chenga.
Nisaidie.
Falsafa ya uongozi wa mama Samia ni hizo R 4 mojawapo ni mabadiliko.

Tena kama ni mkulima piga hiyo namba kuna mengi ya manufaa kwa wakulima, kuanzia ruzuku za pembejeo mpaka mikopo ya vifaa vya kisasa vya kilimo.
 
Nahitaji mbegu za mahindi DKC 777, DKC 90/89 lakini hazipatikani Karagwe, Ngara, Missenyi na Bukoba.
Aliye na taarifa zilipo naomba anifahamishe pamoja na bei.
Hata ndege ya Rais 5H-ONE imeadimika nchini. Imezuiwa Dubai.
 
Back
Top Bottom