Mbeleni kubadili jinsia itakua kawaida kama ilivo kwa sasa kuvaa suruali… Technologia ni rafiki wa muda

Mbeleni kubadili jinsia itakua kawaida kama ilivo kwa sasa kuvaa suruali… Technologia ni rafiki wa muda

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
3,104
Reaction score
4,574
Nimeona picha na video za mwanamke mmarekani mmoja aliyebadili jinsia.
Kwa nchi za ulaya hii ni kawaida wao si kitu tena cha mjadala.Nadhani ni stage ya advancement waliyofikia ndio inawafanya wafikiri hivo




Sipati picha hapo baadae miaka 100 ijayo wanawake wote hawataki kua wanawake tena wanabadili jinsia?? Nimewaza hili sana
Saaizi tunaona kama wagonjwa wa akili
Miaka ijayo tutasema kila mtu na maamuzi yake


Je nini kinasababisha watu wakatae kitu kipya ambacho baadae wanakikubal
 

Attachments

  • IMG_5943.jpeg
    IMG_5943.jpeg
    154.4 KB · Views: 27
  • IMG_5944.jpeg
    IMG_5944.jpeg
    175.9 KB · Views: 27
  • IMG_5945.jpeg
    IMG_5945.jpeg
    230.5 KB · Views: 31
  • IMG_5946.jpeg
    IMG_5946.jpeg
    250.6 KB · Views: 34
  • IMG_5947.png
    IMG_5947.png
    1.6 MB · Views: 32
Back
Top Bottom