Mbet wamefilisika au wanataka kunitapeli?

Mbet wamefilisika au wanataka kunitapeli?

gillana

Member
Joined
Jul 7, 2018
Posts
79
Reaction score
82
Nimekula mkeka toka juzi lakini wameshindwa kunilipa. Na kibaya zaid mkeka ulikuwa unasoma pending payment, na Jana mida ya mchana ticket ikasoma payed winner, na kwa uhalisia hawajanilipa nimewapigia kwenye simu wanasema kuna shida ya mfumo. Nal eo ndio hawapokei kabisa.
 
Kuna shida nadhani, hata kama haitakuwa ya kifedha basi ya kiteknolojia. Kuna mkeka wangu wa jackpot Perfect12 uko pending tangu tarehe 2/9/2024, hawajautolea matokeo, iwe nimepata au nimepoteza
 
Nimekula mkeka toka juzi lakini wameshindwa kunilipa. Na kibaya zaid mkeka ulikuwa unasoma pending payment, na Jana mida ya mchana ticket ikasoma payed winner, na kwa uhalisia hawajanilipa nimewapigia kwenye simu wanasema kuna shida ya mfumo. Nal eo ndio hawapokei kabisa.
Wape muda kidogo, wanachukuaga muda kufanya muamala. Wape masaa 24 au 48 ya siku za kazi, ukiona bado hawasomeki ndiyo uchukue hatua.
 
Pole sana Kwa kutumia kampuni la matapeli najua utakua shabiki wa simba maana nyie wenye ushabiki wa simba na yanga ndio mnaobetiaga m bet na sport pesa kwakua ndio mnaanza kubet🤣🤣🤣🤣
Kama una vithibitisho vyote, sidhani kama kampuni halali iliyosajiliwa nchini inaweza kukataa kabisa kukulipa. Kama ni pesa ndefu chukua mwanasheria akasumbuane nao, wewe kaa kwa kutulia.

Ukibeti kwa mrusi akaamua kufunga account yako utampatia wapi?
 
Wanachelewa ila kulipa wanalipa. Wana vingi vya kupoteza kwa kufanya utapeli wa namna hiyo
Hamna Cha kupoteza mzee unachekesha Kweli hiyo kampuni imemtapeli ndugu yangu mwezi wa pili mwaka huu million 6 na mikeka yake miwili yote ikafutwa siwezi bet kampuni ya aina hiyo mikeka inafutwa hiyo ni kampuni njaa ndio maana ipo tanzania tu na inaidhamini vitimu njaa vya Tanzania jinga sana hao jamaa
 
Hamna Cha kupoteza mzee unachekesha Kweli hiyo kampuni iloshawahi mtapelo ndugu yangu million 6 na mikeka yake miwili yote ikafutwa siwezi bet kampuni ya aina hiyo mikeka inafutwa hiyo ni kampuni njaa ndio maana ipo tanzania tu
Alichukua hatua gani? Najua T&C zao zinawapa uhuru mkubwa wa kuamua lolote muda wowote kuhusu beti yako ila ukiangalia kwa umakini kampuni zote zina hivyo vipengele. Ninachotaka kujua alichukua hatua gani?
 
Wewe mgeni kwenye hii tasnia sio endelea na ubishi naona unaeleta ligi kama unaona waaminifu endelea kubeti m bet maana wateja ni mashabiki wa simba walioanza kubet baada ya kudhaminiwa na m bet
 
Wewe mgeni kwenye hii tasnia sio endelea na ubishi naona unaeleta ligi kama unaona waaminifu endelea kubeti m bet maana wateja wao ni nyie mlioingia kwenye hii tasnia Jana wa hiyo timu ya simba walioanza kubet baada ya kudhaminiwa na m bet
Mkuu jikite kwenye mada, hayo maswala ya nimeanza kubeti lini embu tuyaache. Ni kweli sibeti kila siku ila inawezekana mara ya kwanza mimi kubeti wewe ulikuwa haujui hata betting ni kitu gani. Jikite kwenye mada.
 
Mada Gani mshamba wewe umeshaambiwa hao matapeli ukibisha endelea kubeti m bet mpaka na wewe wakufikie siku yako
 
Back
Top Bottom