Mbet wamefilisika au wanataka kunitapeli?

Nenda kawashtaki Bodi ya uamamizi wa michezo ya kubahatisha watachukuliwa hatua au wapeleke mahakamani bila kuchelewa
 
Hivi Jackpot ya sportpesa mbona hatuli?
Majibu yao wanasema hivi! Fanya uchambuzi wa kutosha wa kila mechi pia sio lazima uweke game zote 17 chukua zako 13 za uhakika, weka mikeka mingi zaidi ujiweke katika Hali nzuri zaidi kingine kushinda ni bahati😁
 
Kuna jamaa alishinda 2.5M hiyo ilikuwa 2019, siku mbili zimepita akatumiwa 200k kuuliza akaambiwa washindi walikuwa wengi so kampuni imefanya kama kamgao tu! 😂😂 Kijana alilaani tu, hapo alipataga hadi mawazo ya biashara akiwa anaona chuo jau
Hakusoma masharti ya jackpots? Mara nyingi jackpot mkishinda wengi mnagawana. Na ukiona imekuwa rahis Hadi wewe kupata ujue Kuna wengine wamepata. Jackpots ngumu Kushinda Ni ya gemu 14, na 17 hapa ukishinda lazima ushinde peke yako Ila ya gemu 8, 10,12 Hadi 13 Mara nyingi Ni mgao unatembea
 
Kampuni inayoweza kutoa Hadi Milion 10 kwa pamoja na kiasi chochote unachojua wewe unashinda hawana limit Ni only 👇 888bet
 
Pole sana Kwa kutumia kampuni la matapeli najua utakua shabiki wa simba maana nyie wenye ushabiki wa simba na yanga ndio mnaobetiaga m bet na sport pesa kwakua ndio mnaanza kubet🤣🤣🤣🤣
Sportpesa uhakika nilikula million 10 haikupita dakika 5 baada ya mechi ya mwisho pesa ishaingia kwenye account. Makamouni mengi bongo ni ya kitapeli Sana
 
Website ya M-bet imekaa 'ki-ninja' sana, kwa mara ya kwanza nimefanya Usajili mwezi wa tisa mwaka huu, nikafanya muamala kwa kuweka pesa kiasi cha Tsh.2,000.00 baada ya hapo nikaanza kuzunguka kufanya Ubashiri! Ilinichukua dakika kadhaa hadi nilipofanikiwa kujua kwamba kama nataka kubashiri kwa magoli na kadhalika inabidi niingie M-betPlus, nimeingia M-betPlus mara pesa ipo kwenye wallet ila kuiwekea ubashiri ni shida!

Nilitumia dakika kadhaa nikaona niachane na hiyo pesa kabisa, baadae nimepata wazo la kuitoa pesa japo nusu yake lakini kila ninapoangalia nakutana na ujumbe ulioandikwa "Pending withdrawal" siku ikapita hatimaye mwezi kabisa umeisha na sasa ni mwezi wa kumi.

Nikiri tu, user interface ya M-Bet imekaa 'kibabe' na utumiaji wake ni mgumu asa kwa watumiaji wapya ambao wamezoea kuingia kwenye websites za kubashiri ambazo hazina mambo mengi kama betika, sportpesa, galibet, wasafibeti, 88bet n.k

M-bet inabidi wabadilike, la sivyo watapoteza wateja wengi, kama hawajawapoteza kwasasa wajaribu kubadilika.
 
05 May 2025
Sasa inshu kubwa kuliko hii imejitokeza kwa waendesha vindege wa WasafiBet. Kwa siku nzima ya juzi jamaa walizuia kutoa pesa, halafu jana wame-deactivate accounts za wakamaria wenye zenye mamilioni ya pesa.
Wanachodai ni system errors na sababu kama hizo.
 
Ukiona account yako imefungwa ujue kuna fraud umefanya . Ukiona hela haitoki na umezingatia vigezo na masharti ujue kuna tatizo la mtandao wasiliana na huduma kwa wateja
 
Website ya M-bet imekaa 'ki-ninja' sana, kwa mara ya kwanza nimefanya Usajili mwezi wa tisa mwaka huu, nikafanya muamala kwa kuweka pesa kiasi cha Tsh.2,000.00 baada ya hapo nikaanza kuzunguka kufanya Ubashiri! Ilinichukua dakika kadhaa hadi nilipofanikiwa kujua kwamba kama nataka kubashiri kwa magoli na kadhalika inabidi niingie M-betPlus, nimeingia M-betPlus mara pesa ipo kwenye wallet ila kuiwekea ubashiri ni shida!

Nilitumia dakika kadhaa nikaona niachane na hiyo pesa kabisa, baadae nimepata wazo la kuitoa pesa japo nusu yake lakini kila ninapoangalia nakutana na ujumbe ulioandikwa "Pending withdrawal" siku ikapita hatimaye mwezi kabisa umeisha na sasa ni mwezi wa kumi.

Nikiri tu, user interface ya M-Bet imekaa 'kibabe' na utumiaji wake ni mgumu asa kwa watumiaji wapya ambao wamezoea kuingia kwenye websites za kubashiri ambazo hazina mambo mengi kama betika, sportpesa, galibet, wasafibeti, 88bet n.k

M-bet inabidi wabadilike, la sivyo watapoteza wateja wengi, kama hawajawapoteza kwasasa wajaribu kubadilika.
Mbet ni miongoni mwa kampuni yenye wateja wengi sana kutoka 2020-2024
 
Back
Top Bottom