raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Ime nunuliwa na kampuni inayo itwa Mchezo ipo hapo Kigali RwandaEh kumbe betpawa ilishafanyiwa manunuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ime nunuliwa na kampuni inayo itwa Mchezo ipo hapo Kigali RwandaEh kumbe betpawa ilishafanyiwa manunuzi
Majibu yao wanasema hivi! Fanya uchambuzi wa kutosha wa kila mechi pia sio lazima uweke game zote 17 chukua zako 13 za uhakika, weka mikeka mingi zaidi ujiweke katika Hali nzuri zaidi kingine kushinda ni bahati😁Hivi Jackpot ya sportpesa mbona hatuli?
Wanaweka game nyingi ila wahuni,hawa jamaa walionunua hii kampuni wahunihuni kwenye cash out tofauti na wa mwanzo
Hapana Betpawa mmiliki Ni yule yule na Sasa inapatikana nchi nyingi Sana Africa.Eh kumbe betpawa ilishafanyiwa manunuzi
Hakusoma masharti ya jackpots? Mara nyingi jackpot mkishinda wengi mnagawana. Na ukiona imekuwa rahis Hadi wewe kupata ujue Kuna wengine wamepata. Jackpots ngumu Kushinda Ni ya gemu 14, na 17 hapa ukishinda lazima ushinde peke yako Ila ya gemu 8, 10,12 Hadi 13 Mara nyingi Ni mgao unatembeaKuna jamaa alishinda 2.5M hiyo ilikuwa 2019, siku mbili zimepita akatumiwa 200k kuuliza akaambiwa washindi walikuwa wengi so kampuni imefanya kama kamgao tu! 😂😂 Kijana alilaani tu, hapo alipataga hadi mawazo ya biashara akiwa anaona chuo jau
Namna ya kufanya malipo haikua hivi 2021,jina linalopokea malipo halikua hiliHapana Betpawa mmiliki Ni yule yule na Sasa inapatikana nchi nyingi Sana Africa.
Ndg hakuna aliyetapeliwa maana ninachojua mimi ukiwapigia baraza LA michezo masaa 2 mengi sana I'm utakuwa umelipwaNimekuwa mshamba tena? Ushamba unahusiana vipi na tunachoongelea hapa?
Hiyo sio sababu ya kuuzwa kwa kampuni mkuuNamna ya kufanya malipo haikua hivi 2021,jina linalopokea malipo halikua hili
Hamna kampuni hapoTangu mwezi wa tisa hawajanilipa. Kuna kila dalili ya kutapeliwa
Sportpesa uhakika nilikula million 10 haikupita dakika 5 baada ya mechi ya mwisho pesa ishaingia kwenye account. Makamouni mengi bongo ni ya kitapeli SanaPole sana Kwa kutumia kampuni la matapeli najua utakua shabiki wa simba maana nyie wenye ushabiki wa simba na yanga ndio mnaobetiaga m bet na sport pesa kwakua ndio mnaanza kubet🤣🤣🤣🤣
Ukiona account yako imefungwa ujue kuna fraud umefanya . Ukiona hela haitoki na umezingatia vigezo na masharti ujue kuna tatizo la mtandao wasiliana na huduma kwa wateja05 May 2025
Sasa inshu kubwa kuliko hii imejitokeza kwa waendesha vindege wa WasafiBet. Kwa siku nzima ya juzi jamaa walizuia kutoa pesa, halafu jana wame-deactivate accounts za wakamaria wenye zenye mamilioni ya pesa.
Wanachodai ni system errors na sababu kama hizo.
Mbet ni miongoni mwa kampuni yenye wateja wengi sana kutoka 2020-2024Website ya M-bet imekaa 'ki-ninja' sana, kwa mara ya kwanza nimefanya Usajili mwezi wa tisa mwaka huu, nikafanya muamala kwa kuweka pesa kiasi cha Tsh.2,000.00 baada ya hapo nikaanza kuzunguka kufanya Ubashiri! Ilinichukua dakika kadhaa hadi nilipofanikiwa kujua kwamba kama nataka kubashiri kwa magoli na kadhalika inabidi niingie M-betPlus, nimeingia M-betPlus mara pesa ipo kwenye wallet ila kuiwekea ubashiri ni shida!
Nilitumia dakika kadhaa nikaona niachane na hiyo pesa kabisa, baadae nimepata wazo la kuitoa pesa japo nusu yake lakini kila ninapoangalia nakutana na ujumbe ulioandikwa "Pending withdrawal" siku ikapita hatimaye mwezi kabisa umeisha na sasa ni mwezi wa kumi.
Nikiri tu, user interface ya M-Bet imekaa 'kibabe' na utumiaji wake ni mgumu asa kwa watumiaji wapya ambao wamezoea kuingia kwenye websites za kubashiri ambazo hazina mambo mengi kama betika, sportpesa, galibet, wasafibeti, 88bet n.k
M-bet inabidi wabadilike, la sivyo watapoteza wateja wengi, kama hawajawapoteza kwasasa wajaribu kubadilika.
Fixed gameKuna jamaa yangu alishinda kama 3,000,000 hajalipwa mpaka leo na mkeka wenyewe wameshaufuta.