Mbet wamefilisika au wanataka kunitapeli?

Labda tatizo la mtandao hayo makampuni hela zimejaa
M bet wacheleweshaji,wakati naanza nilikua nabetia huko,hela umekula saa nne usiku,hela unapata kesho mchana, mwana alikua 36k kwa tsh 200 meridian ilichukua siku nne kupata
 
Kuna jamaa alishinda 2.5M hiyo ilikuwa 2019, siku mbili zimepita akatumiwa 200k kuuliza akaambiwa washindi walikuwa wengi so kampuni imefanya kama kamgao tu! 😂😂 Kijana alilaani tu, hapo alipataga hadi mawazo ya biashara akiwa anaona chuo jau
 
Ilikua jackpot??
 
Back
Top Bottom