Mbet wamefilisika au wanataka kunitapeli?

Mbet wamefilisika au wanataka kunitapeli?

Mkuu hakunaaaa fxd inayosmbaaa hizo n feki....na kampuni hawana nguvu ya kukutalia pesa yako kamwe kuna mambo mengi tu walikupa hio fxd
Nyingi Ni feki Ila sometime zinakuweko , wakijua mechi utaona imefungwa odds kabla haijaanza . Au walio ibetia hawatalipwa
 
Wewe mgeni kwenye tasnia hii sio endelea na ubishi naona unaeleta ligi kama unaona waaminifu endelea kubeti m bet maana wateja ni mashabiki wa simba walioanza kubet baada ya kudhaminiwa na m bet.
Sema siaona hoja ya maana toka kwako, M-bet ina mwaka wa ngapi Tanzania, Simba wameanza juzi tu.
Kubeti na ushabiki wa timu kuna uhusiano gani, alikuambia mashabiki wanabeti nani.
.
Mashabiki kazi yao ni kushabikia timu na wakamalia ni watu huru, ndiyo maana hata beting zingine nje ambazo hazidhani Simba na Yanga zinauza.
 
Kiukweli sidhani kama kuna kampuni ya betting iliyo safi kihivyo. Mfano SportPesa nimegundua wanakutajia kiwango utakachoshida kama mkeka ukitick baada ya kodi, ila ukishalipia tu mkeka wako, kiwango kile kinapungua na si kwa pesa ndogo
 
Sport pesa ni kampuni ya kubetia au kituko
 
Back
Top Bottom