Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
ila maisha haya dah!, hakika ni wivu wa mapenzi🤣🤣🤣🤣 Achana nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila maisha haya dah!, hakika ni wivu wa mapenzi🤣🤣🤣🤣 Achana nao
NaamHapa kataa ndoa ni halali Yao kujichukulia points ....daaa
Yaan balaa,ukiwa mpumbavu Lazima mapenzi yakumalizeila maisha haya dah!, hakika ni wivu wa mapenzi
sio kwa upimbavu huo lakini, mtu unapendaje hivo kupitilizaYaan balaa,ukiwa mpumbavu Lazima mapenzi yakumalize
🤣🤣🤣🤣sio kwa upimbavu huo lakini, mtu unapendaje hivo kupitiliza
hii ni march, tutaona mengi mwaka huuHuu mwaka uishe tuu
🤣🤣🤣Umeambiwa ni mnyakyusa? Tuache!Zile sifa za kikabila siku hizi zimeisha kabisa,Wanyakyusa wanajiua kisa mapenzi,zamani ilikuwa wazaramo,huko kwa kina mwamba wa kaskazini nako walume wanaleft group
Yaniiihii ni march, tutaona mengi mwaka huu
Huyo mwaisa huyo,unyama mwingi hakuna🤣🤣🤣Umeambiwa ni mnyakyusa? Tuache!
Daaah umeongea kwa hisia sana🤓🤓🤓Unakuta kuna lijinga linaoa
🤣🤣🤣🤣🤒Huyo mwaisa huyo,unyama mwingi hakuna
naskiaga wanasema mapenzi hayana umri41 na 38 si wakubwa kabisa hao jaman
Mapenzi yana umri sasaa41 na 38 si wakubwa kabisa hao jaman
Aisee,hii shida sananaskiaga wanasema mapenzi hayana umri
Au jamaa atakuwa aliishiwa nguvu za kiume?Mapenzi yana umri sasaa
Ndo naambiwa bhana....aiseeMapenzi yana umri sasaa