Mbeya: Ajifungia kwenye nyumba yeye na mkewe kisha kuchoma nyumba moto, kisa wivu wa mapenzi

Mbeya: Ajifungia kwenye nyumba yeye na mkewe kisha kuchoma nyumba moto, kisa wivu wa mapenzi

Zile sifa za kikabila siku hizi zimeisha kabisa,Wanyakyusa wanajiua kisa mapenzi,zamani ilikuwa wazaramo,huko kwa kina mwamba wa kaskazini nako walume wanaleft group
🤣🤣🤣Umeambiwa ni mnyakyusa? Tuache!
 
Zamani kuna makabila ulikuwa huwezi kuyasikia kwenye haya mambo,ila siku hizi Kaskazini wanaume wana left group,Wanyakyusa wanajiua kisa makopa,dunia uwanja wa vita.
 
Back
Top Bottom