Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
😂KATAA WIZI
KATAA UTAPELI
KATAA NDOA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂KATAA WIZI
KATAA UTAPELI
KATAA NDOA
Kuna tofauti ya kujamiana na ndoaAcheni ulimbukeni, bila ndoa ungekuwepo?
Kataa Ndoa kama Nikola Tesla
Chama chenu kinazidi kupata memberyes, yuko mbioni kuchukua kadi ya umemba, yuko vizuri
Hakika.....halafu si wawe wanajiua peke yao tu hadi wauwe watuWatu wamechanganyikiwa, wanahitaji sababu tu, walipuke 😅😅
😅 somo linawaingia taratibChama chenu kinazidi kupata member
Tatizo sio ndoa, tatizo ni kwamba Africa bado hatupo updated. Leo hii wanaondoa wanaweza kuwa wamechokana, kufikia stage ambayo marriage can't work no more, ila Jamii italazimisha wasameheane.Eee mnaishi mitaa tofauti mnaonana mara moja ila msichokane
Inahitajika semina ya mahusiano ili kunusuru uhai,watu wakishindwana waachane tu
View attachment 2549166
Mtoto wa marehemu akiwa Hospitalini akiendelea na matibabu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya
Asijekuwa bujibuji maana huko ndo kwao. Huyo mwanaume anatuabisha si angetafuta mwanamke mwingine kimya kimyaView attachment 2549166
Mtoto wa marehemu akiwa Hospitalini akiendelea na matibabu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na operesheni, misako na doria katika maeneo mbalimbali ya Mkoa ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao. Aidha tumeendelea kupata mafanikio kwa kukamata watuhumiwa wa makosa mbalimbali na kuwafikisha mahakamani kwa hatua zaidi za kisheria.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin E. Kuzaga amesema Mnamo tarehe 08.03.2023 majira ya saa 04:00 usiku huko maeneo ya Nyigamba, Mtaa wa Itezi, Jijini Mbeya, mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la HAMIS PIUS [41] Dereva, Mkazi wa Nyigamba alifariki dunia kwa kuungua moto baada ya kujifungia ndani ya chumba anacholala na mke wake aitwaye REBELIA MAKOSO [38] Mkazi wa Nyigamba kisha kumwaga mafuta ya Petroli na kuwasha moto.
Wakati wa tukio hilo, mke wa marehemu alipiga kelele kuomba msaada kwa mtoto wake aitwaye MKESHILISI HAMIS [21] ambaye alikuwa chumba kingine ambaye alikwenda kutoa msaada kwa kupiga teke mlango wa chumba na kisha kumuokoa mama yake lakini baba yake alikataa kutoka ndani na kupelekea kuungua hadi kupoteza maisha.
Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha tukio hili ni wivu wa kimapenzi. Majeruhi ambao ni mke na mtoto wa marehemu wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali Teule ya Ifisi iliyopo Mji Mdogo wa Mbalizi kutokana na majeraha ya moto waliyoyapata mwilini.
View attachment 2549167
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin E. Kuzaga
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linatoa wito kwa jamii kuachana na vitendo vya kujichukulia sheria mkononi. Aidha tunatoa wito kwa jamii kutatua migogoro yao ya kifamilia na ndoa kwa kukaa meza moja ya usuluhishi badala ya kuchukua maamuzi magumu kama hayo.
Tatizo kila mtu huwa anaamini yeye ndio yupo sahihi zaidi kuliko wengine, plus ubinafsi.Hakika.....halafu si wawe wanajiua peke yao tu hadi wauwe watu
Aaah 😂😂 hii kampeni yenu nimeikubali bwana mna hojaKataa Ndoa kama Nikola Tesla
Huo ni uteja wa mapenziDuuh!
Wivu uliopitiliza huo.
Kuna watu wanapenda vibaya mno.
Exactly.Huo ni uteja wa mapenzi
Ndoa za siku hizi bora kuishi mbali mbali
Mbeya kwa matukio 🤦🏾♂️
Ha ha ha au sio