Mbeya: Aliyewahi kuwa Katekista azikwa akiwa hai akituhumiwa kwa uchawi

CCM oyeee. Chanzo Cha Matatizo
 
Wachawi wanakera ila kumzika mtu hai hii imezidi viwango vya ukatili
 
"Baada ya kukaa chini ndani ya kaburi hilo ndipo walianza kumfukia kwa udongo na baadaye wakachukua jeneza la marehemu na kuliweka juu yake, kisha kumfukia na udongo na taratibu za mazishi ziliendelea kwa ajili ya marehemu Peter,"alisema.
 

Hii n dalili ya kuwa na serikali mbovu
 
Uwakute wanamlilia Yesu utafikiri Malaika wa Kusifu vile.
Kila baada nyumba mbili kanisa ila mengi ni Temple za majet Lee.
 
Apa ndo nakumbuka mahojiano ya mzee mamvi mtangazaji mmoja kipindi anahojiwa aliulizwa kipaumbele chako chakwanza kwawatanzania ukiwa raisi itakuwa nini akajibu Elimu mtangazaji hakuchoka kumuuliza swali akamuuliza nakipaumbele chapili kwawatanzania kwako itakuwa nini mzee akajibu tena Elimu mtangazaji hakuchoka akamuuliza chatatu nachamwisho wananchi utawafanyia nini akajibu Elimu dah nimekuelewa mzee wa monduli
 
"Baada ya kukaa chini ndani ya kaburi hilo ndipo walianza kumfukia kwa udongo na baadaye wakachukua jeneza la marehemu na kuliweka juu yake, kisha kumfukia na udongo na taratibu za mazishi ziliendelea kwa ajili ya marehemu Peter,"alisema.
Jamaa kauzu sana
 
Reactions: BRB
Ngumu kumeza hii
 
Imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba hii dunia. Bila kujali ni imani za kishirikina za kaifrika, za kikristu, au za kiislam, zote ni ushirikina na uchawi tu.
 
Inakuwaje taarifa ya Mwaka 2013, zaidi ya miaka 10 iliyopita unaileta leo?….HUU NI UPOTOSHAJI WA KIWANGO CHA JUU…Hili tukio lilitokea mwaka 2013 wakati Mkwajuni ilikuwa wilaya ya Chunya na Wilaya ya Chunya haijagawanywa…Kwa sasa Mkwajuni ipo Wilaya ya Songwe Mkoa wa Songwe…

Pia kipindi tukio linatokea Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya alikuwa Diwani Athumani
 
Huu ndio ugaidi halisi kuzika mtu akiwai hai ni zaidi ya unyama
Dini haijatajwa ila inajulikana ni dini gani wanazika na jeneza [emoji28]
Hapo ingekua wamefanya ivo wavaa kobazi hapa mngeikashifu dini yao vya kutosha
 
du!!!,,,,,,,,matatizo ya afya y a akili yamezidi sasa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…