Mbeya: Aliyewahi kuwa Katekista azikwa akiwa hai akituhumiwa kwa uchawi

Mtu unaumwa Tumbo unaenda kwa mganga was kienyeji Mtu ambaye hana Elimu ,anaishi katika umasikini hajui hata Aina yoyote ya dawa za kutibu then anakupa dawa iliyochanganywa na mikojo then ile reaction ya sumu inamfanya Mtu anakufa

Baada ya hapo mnapiga mtu na kumzika hai

Ukosefu wa MAARIFA ndo tatizo kubwa hapa Tanzania.
CCM oyeee. Chanzo Cha Matatizo
 
Wachawi wanakera ila kumzika mtu hai hii imezidi viwango vya ukatili
 
Msaidizi wa zamani wa Padri (Katekisita) katika Kigango cha Kanisa Katoliki Kijiji cha Mkwajuni, Florian Mwamosi (70) amekufa baada ya kuzikwa akiwa hai katika kaburi moja na mtu anayedaiwa kumuua kwa njia ya kishirikina.

Tukio hilo limetokea katika Kitongoji cha Maweni kijijini hapo wilayani Chunya mkoani Mbeya.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya alikiri kutokea kwa tukio hilo akieleza kuwa lilitokea saa 9:00 mchana katika kijiji hicho cha Maweni Mkwajuni wilayani Chunya.

"Marehemu aliuawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa na mawe kwa tuhuma za kuhusika na uchawi na kusababisha kifo cha Peter Robert," alisema.

Kamanda Athumani alisema kuwa uchunguzi kuhusiana na tukio hilo unaendelea na kwamba wahusika wote wa tukio hilo wamekimbia na kuzihama nyumba zao, hivyo polisi wanaendelea na msako wa kuwatia mbaroni watuhumiwa na kwamba tayari kaburi hilo limefukuliwa jana kutenganisha maiti hizo.

Mashuhuda wa tukio hilo walisema kuwa marehemu huyo ambaye alikuwa akituhumiwa kwa ushirikina aliwahi kuwa Katekista wa kigango hicho hadi mwaka 2007.

Wameeleza kuwa Mwamosi alikwenda kuhudhuria mazishi ya Peter Robert (28) katika kitongoji hicho cha Maweni, baada ya kufuatwa nyumbani kwake na watu wakitaka aende kwa sababu yeye ni mmoja wa wazee wa mila katika kitongoji hicho.

"Bwana Mwamosi alikuwa akituhumiwa kwa uchawi kwa muda mrefu na wenzie wawili, hivyo alipofika makaburini ilianza minong`ono ya watu na huku wengine wakiguna na ndipo alipoombwa aingie kaburini kwa ajili ya kupokea jeneza lililobeba mwili wa marehemu Peter Robert," alisema mkazi mmoja wa kijiji hicho aliyejitambulisha kwa jina moja la Joseph.

Alisema kuwa baada ya kaburini akiwa na watu wengine watatu wenzake walitoka kwa haraka na kumwacha Mwamosi peke yake ndipo kundi la watu waliokuwa eneo hilo la makaburi walianza kumshambulia kwa kumpiga mawe huku wakimwamuru akae chini.

Shuhuda huyo alisema kuwa baada ya kukubali kukaa chini akiwa ndani ya kaburi hilo, walianza kumfukia na alipofukiwa nusu ya mwili wake waliingiza jeneza la marehemu Peter na kuliweka juu yake na kuanza kulifukia kaburi hilo.

"Baada ya kukaa chini ndani ya kaburi hilo ndipo walianza kumfukia kwa udongo na baadaye wakachukua jeneza la marehemu na kuliweka juu yake, kisha kumfukia na udongo na taratibu za mazishi ziliendelea kwa ajili ya marehemu Peter,"alisema.

Alidokeza kuwa chanzo cha tukio hilo ni marehemu Robert kuugua ghafla tumbo, ndipo ndugu zake walipoamua kumpeleka kwa mganga wa jadi kwa ajili ya kupata matibabu na baada ya siku tatu alifariki dunia.

Kamanda huyo amewasihi wakazi wa Mkoa wa Mbeya kuacha tabia kama hizo kwani kufanya hivyo ni kuuchafua mkoa na kuwa na sifa mbaya, hivyo kusababisha maendeleo ya mkoa kurudi nyuma.

Januari 12, mwaka huu wakazi wawili wa Kijiji cha Karungu, Kata ya Ivuna, Wilaya ya Momba, mkoani Mbeya walikufa baada ya kufukiwa wakiwa hai katika kaburi moja na marehemu wanaodaiwa kumuua, tukio linalohusishwa na imani za kishirikina.

Hii n dalili ya kuwa na serikali mbovu
 
Uwakute wanamlilia Yesu utafikiri Malaika wa Kusifu vile.
Kila baada nyumba mbili kanisa ila mengi ni Temple za majet Lee.
 
Apa ndo nakumbuka mahojiano ya mzee mamvi mtangazaji mmoja kipindi anahojiwa aliulizwa kipaumbele chako chakwanza kwawatanzania ukiwa raisi itakuwa nini akajibu Elimu mtangazaji hakuchoka kumuuliza swali akamuuliza nakipaumbele chapili kwawatanzania kwako itakuwa nini mzee akajibu tena Elimu mtangazaji hakuchoka akamuuliza chatatu nachamwisho wananchi utawafanyia nini akajibu Elimu dah nimekuelewa mzee wa monduli
 
"Baada ya kukaa chini ndani ya kaburi hilo ndipo walianza kumfukia kwa udongo na baadaye wakachukua jeneza la marehemu na kuliweka juu yake, kisha kumfukia na udongo na taratibu za mazishi ziliendelea kwa ajili ya marehemu Peter,"alisema.
Jamaa kauzu sana
 
  • Kicheko
Reactions: BRB
Msaidizi wa zamani wa Padri (Katekisita) katika Kigango cha Kanisa Katoliki Kijiji cha Mkwajuni, Florian Mwamosi (70) amekufa baada ya kuzikwa akiwa hai katika kaburi moja na mtu anayedaiwa kumuua kwa njia ya kishirikina.

Tukio hilo limetokea katika Kitongoji cha Maweni kijijini hapo wilayani Chunya mkoani Mbeya.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya alikiri kutokea kwa tukio hilo akieleza kuwa lilitokea saa 9:00 mchana katika kijiji hicho cha Maweni Mkwajuni wilayani Chunya.

"Marehemu aliuawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa na mawe kwa tuhuma za kuhusika na uchawi na kusababisha kifo cha Peter Robert," alisema.

Kamanda Athumani alisema kuwa uchunguzi kuhusiana na tukio hilo unaendelea na kwamba wahusika wote wa tukio hilo wamekimbia na kuzihama nyumba zao, hivyo polisi wanaendelea na msako wa kuwatia mbaroni watuhumiwa na kwamba tayari kaburi hilo limefukuliwa jana kutenganisha maiti hizo.

Mashuhuda wa tukio hilo walisema kuwa marehemu huyo ambaye alikuwa akituhumiwa kwa ushirikina aliwahi kuwa Katekista wa kigango hicho hadi mwaka 2007.

Wameeleza kuwa Mwamosi alikwenda kuhudhuria mazishi ya Peter Robert (28) katika kitongoji hicho cha Maweni, baada ya kufuatwa nyumbani kwake na watu wakitaka aende kwa sababu yeye ni mmoja wa wazee wa mila katika kitongoji hicho.

"Bwana Mwamosi alikuwa akituhumiwa kwa uchawi kwa muda mrefu na wenzie wawili, hivyo alipofika makaburini ilianza minong`ono ya watu na huku wengine wakiguna na ndipo alipoombwa aingie kaburini kwa ajili ya kupokea jeneza lililobeba mwili wa marehemu Peter Robert," alisema mkazi mmoja wa kijiji hicho aliyejitambulisha kwa jina moja la Joseph.

Alisema kuwa baada ya kaburini akiwa na watu wengine watatu wenzake walitoka kwa haraka na kumwacha Mwamosi peke yake ndipo kundi la watu waliokuwa eneo hilo la makaburi walianza kumshambulia kwa kumpiga mawe huku wakimwamuru akae chini.

Shuhuda huyo alisema kuwa baada ya kukubali kukaa chini akiwa ndani ya kaburi hilo, walianza kumfukia na alipofukiwa nusu ya mwili wake waliingiza jeneza la marehemu Peter na kuliweka juu yake na kuanza kulifukia kaburi hilo.

"Baada ya kukaa chini ndani ya kaburi hilo ndipo walianza kumfukia kwa udongo na baadaye wakachukua jeneza la marehemu na kuliweka juu yake, kisha kumfukia na udongo na taratibu za mazishi ziliendelea kwa ajili ya marehemu Peter,"alisema.

Alidokeza kuwa chanzo cha tukio hilo ni marehemu Robert kuugua ghafla tumbo, ndipo ndugu zake walipoamua kumpeleka kwa mganga wa jadi kwa ajili ya kupata matibabu na baada ya siku tatu alifariki dunia.

Kamanda huyo amewasihi wakazi wa Mkoa wa Mbeya kuacha tabia kama hizo kwani kufanya hivyo ni kuuchafua mkoa na kuwa na sifa mbaya, hivyo kusababisha maendeleo ya mkoa kurudi nyuma.

Januari 12, mwaka huu wakazi wawili wa Kijiji cha Karungu, Kata ya Ivuna, Wilaya ya Momba, mkoani Mbeya walikufa baada ya kufukiwa wakiwa hai katika kaburi moja na marehemu wanaodaiwa kumuua, tukio linalohusishwa na imani za kishirikina.
Ngumu kumeza hii
 
Imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba hii dunia. Bila kujali ni imani za kishirikina za kaifrika, za kikristu, au za kiislam, zote ni ushirikina na uchawi tu.
 
Inakuwaje taarifa ya Mwaka 2013, zaidi ya miaka 10 iliyopita unaileta leo?….HUU NI UPOTOSHAJI WA KIWANGO CHA JUU…Hili tukio lilitokea mwaka 2013 wakati Mkwajuni ilikuwa wilaya ya Chunya na Wilaya ya Chunya haijagawanywa…Kwa sasa Mkwajuni ipo Wilaya ya Songwe Mkoa wa Songwe…

Pia kipindi tukio linatokea Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya alikuwa Diwani Athumani
 
Attachments

  • IMG_4885.jpeg
    IMG_4885.jpeg
    138.7 KB · Views: 5
Huu ndio ugaidi halisi kuzika mtu akiwai hai ni zaidi ya unyama
Dini haijatajwa ila inajulikana ni dini gani wanazika na jeneza [emoji28]
Hapo ingekua wamefanya ivo wavaa kobazi hapa mngeikashifu dini yao vya kutosha
 
Msaidizi wa zamani wa Padri (Katekisita) katika Kigango cha Kanisa Katoliki Kijiji cha Mkwajuni, Florian Mwamosi (70) amekufa baada ya kuzikwa akiwa hai katika kaburi moja na mtu anayedaiwa kumuua kwa njia ya kishirikina.

Tukio hilo limetokea katika Kitongoji cha Maweni kijijini hapo wilayani Chunya mkoani Mbeya.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya alikiri kutokea kwa tukio hilo akieleza kuwa lilitokea saa 9:00 mchana katika kijiji hicho cha Maweni Mkwajuni wilayani Chunya.

"Marehemu aliuawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa na mawe kwa tuhuma za kuhusika na uchawi na kusababisha kifo cha Peter Robert," alisema.

Kamanda Athumani alisema kuwa uchunguzi kuhusiana na tukio hilo unaendelea na kwamba wahusika wote wa tukio hilo wamekimbia na kuzihama nyumba zao, hivyo polisi wanaendelea na msako wa kuwatia mbaroni watuhumiwa na kwamba tayari kaburi hilo limefukuliwa jana kutenganisha maiti hizo.

Mashuhuda wa tukio hilo walisema kuwa marehemu huyo ambaye alikuwa akituhumiwa kwa ushirikina aliwahi kuwa Katekista wa kigango hicho hadi mwaka 2007.

Wameeleza kuwa Mwamosi alikwenda kuhudhuria mazishi ya Peter Robert (28) katika kitongoji hicho cha Maweni, baada ya kufuatwa nyumbani kwake na watu wakitaka aende kwa sababu yeye ni mmoja wa wazee wa mila katika kitongoji hicho.

"Bwana Mwamosi alikuwa akituhumiwa kwa uchawi kwa muda mrefu na wenzie wawili, hivyo alipofika makaburini ilianza minong`ono ya watu na huku wengine wakiguna na ndipo alipoombwa aingie kaburini kwa ajili ya kupokea jeneza lililobeba mwili wa marehemu Peter Robert," alisema mkazi mmoja wa kijiji hicho aliyejitambulisha kwa jina moja la Joseph.

Alisema kuwa baada ya kaburini akiwa na watu wengine watatu wenzake walitoka kwa haraka na kumwacha Mwamosi peke yake ndipo kundi la watu waliokuwa eneo hilo la makaburi walianza kumshambulia kwa kumpiga mawe huku wakimwamuru akae chini.

Shuhuda huyo alisema kuwa baada ya kukubali kukaa chini akiwa ndani ya kaburi hilo, walianza kumfukia na alipofukiwa nusu ya mwili wake waliingiza jeneza la marehemu Peter na kuliweka juu yake na kuanza kulifukia kaburi hilo.

"Baada ya kukaa chini ndani ya kaburi hilo ndipo walianza kumfukia kwa udongo na baadaye wakachukua jeneza la marehemu na kuliweka juu yake, kisha kumfukia na udongo na taratibu za mazishi ziliendelea kwa ajili ya marehemu Peter,"alisema.

Alidokeza kuwa chanzo cha tukio hilo ni marehemu Robert kuugua ghafla tumbo, ndipo ndugu zake walipoamua kumpeleka kwa mganga wa jadi kwa ajili ya kupata matibabu na baada ya siku tatu alifariki dunia.

Kamanda huyo amewasihi wakazi wa Mkoa wa Mbeya kuacha tabia kama hizo kwani kufanya hivyo ni kuuchafua mkoa na kuwa na sifa mbaya, hivyo kusababisha maendeleo ya mkoa kurudi nyuma.

Januari 12, mwaka huu wakazi wawili wa Kijiji cha Karungu, Kata ya Ivuna, Wilaya ya Momba, mkoani Mbeya walikufa baada ya kufukiwa wakiwa hai katika kaburi moja na marehemu wanaodaiwa kumuua, tukio linalohusishwa na imani za kishirikina.
du!!!,,,,,,,,matatizo ya afya y a akili yamezidi sasa!!
 
Back
Top Bottom