raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Watu hawana huruma
Sasa na hawa walikuwa wanabakana wapi mpaka akapata shoka la kumtandika mwenzake
Sasa na hawa walikuwa wanabakana wapi mpaka akapata shoka la kumtandika mwenzake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana, wakati nina umri huo nilikuwa napenda kutongoza tu mambo ya kuomba papuchi yalikuwa ni kwa kujikaza sana, ila dogo anamface kabisa binti kwa nguvuU domo zege nao shida. Ila dunia inaenda Kasi mazee. Dogo Wa miaka 17 atamihemko kiasi cha kubaka.
Kwa nilivoelewa dogo kaenda kwao binti,itakuwa katika kurupushani binti alitowa matusi sana, kijana wa hovyo akatizama hapa na paleWatu hawana huruma
Sasa na hawa walikuwa wanabakana wapi mpaka akapata shoka la kumtandika mwenzake
Tena nyeto unafaidi balaa maana control yote ipo mìkononi mwako !!Si angepiga hata nyeto tu ...
😂😂😂😂😂 Unazingua bossAu mtuhumiwa alitumia vidonge vya Sildenafil Citrate 😁
Kweli kuzaa si kupata, mzazi mwenye mtoto wa kike kamkosa, mzazi mwenye mtoto kiume kamkosa, kuzaa siku hizi sio ishu ya msingi tena maana ni hasara kama hizi. its typical shit.Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Sinde jijini Mbeya, Faraja Kasole (16), ameuawa kwa kukatwa na shoka shingoni na mwanafunzi mwenzie aitwaye Humphrey Ngogo (17) mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Iduda, baada ya kushindwa kumbaka.
Chanzo cha mauaji hayo kimedaiwa kuwa ni tamaa za kimwili ambapo mtuhumiwa Ngogo alifanya jaribio la kumbaka marehemu, lakini baada ya kuzidiwa nguvu akachukua shoka na kumpiga nalo kichwani.
East Africa Radio
Maana vijana hamchelewi😂😂😂😂😂😂 Unazingua boss
Mimi mwenyewe nimecheka sana!!! Hahahaha..wakiona wenzao wengine wanapiga masturbation wanawacheka uzembe.
kipindi niko form 2 nilimwambia jamaa yangu huwa napiga mgalala toilet alicheka kwa nguvu sana,yaani utadhani sijui nimemwambia jambo gani la ajabu.
baadae nikaja kuambiwa alikuwa anakula dada zake.
sasa mimi nayeye sijui nani alikuwa anafanya jambo la kizushi hapo.
Duh!Sijawahi kusikia ama kuona binti anaitwa faraja, navyojua faraja ni ME.
Muwe mnaanza na binti aitwae faraja tuelewe, na sio faraja.
Bhujiku ng'waka