Mbeya: Baada ya Polisi kumshikilia Msanii wa Nyimbo, Sifa Bujune Wenzake watoa wimbo wa Kulaani kitendo hicho

Serikali itawafunga wangapi? Itabidi ijenge magereza mengi.

Ufisadi, rushwa, upendeleo, ugumu wa maisha utawafanya raia wengi wapole waongee.

Dawa ni weka umeme, maji ya kuaminika, nidhamu serikali, hakikisha mafuta yanapatikana siku zote. Bandari, misitu na mikataba 30 mtuambie lengo lenu ni lipi hasa? Kelele zitapungua.
 
ngoja tuone...
 
Ni dhahiri pamoja na kuwa wanaweza kuwa na mapungufu yao ila katika wanasiasa wote wanaotetea bandari Dr Slaa na Mwabukusi ukiwasikiliza utajua wapo kwa maslai ya nchi sio hao wengine tabia zao halisi tulizijua kwenye utawala wa mwamba, uzalendo wao ni mchache sana.
 
Kwa kweli shida wanatuona nyani. Ukiwa chawa unaonekana wa maana.
 
Ndio hivyo hivi kwanini wasiaziche vyama vyao wajiunge pamoja na wengine kutoka CCM, Chadema, wasio na chama tuwape nchi. Waanzishe chama chao. Mwabukusi, Dr Slaa, watakuwa viongozi mzuri kuliko Samia na genge lake. Kwanini tusijaribu wengine.

Nahisi ndani ya miaka miwili tutapata maendeleo makubwa sana badala na visingizio, ngojera, taarabu.
 
Huwa napenda sana vita dhidi ya UOVU huwa nasikia kuwaka ndani yangu.
Goo Mbeya gooo
 
Mama Samia kayakanyaga
Alidhani kutenda ukatili kwa wanyonge kunawanyamazisha wengine.

Chuki inazidi kukua na matendo yake na serikali yake kunawaibua mashujaa wasiotarajiwa
Niwajuavyo watu wa Mbeya hakika hakuna wa kuwarudisha nyuma
 
Nakumbukaga pale *njelii" kikwenga walimzinguaga sana wakati anapita

Huko chunya wakamjazia mawe njiani.

Asubuhi wavaa khakhi wakawa wanawasomba watu kuwaweka ndani.

Mbeya ni wabishi.

Mwakyembe na uwaziri alitaka kuleta dharau zake za usome mbele ya watu wakamzodoa na kumzomea.

MSITULIE najua fika mbeya Hana chake ila akisaidia na wizi wa KULA anaweza pita.
 
Kama masihala Hitler alianza mdogo mdogo, alitengeneza vibaraka wake, wakamsaidia kuhangamiza wayahudi zaidi ya milion sita.
Tulia na MapoliCCM wa Mbeya wamekuwa VIBARAKA wa mkoloni Samia. Wanatesa na kuhangamiza tu watanganyika wenzao.

Mungu mkubwa na InshaAllah..!
 
Shida ya Mh.Rais ni kuendekeza utamaduni wa NGOs ambazo alifanya Nazi kazi asa kwenye haki ya raia kusema ata lisilo la maana. Mwana wa Afrika anapaswa kua na kikomo cha Uhuru na Haki
 
Tulia Ackson kaanza kwa Mguu wa kushoto kwenye hili.

Your browser is not able to display this video.

Pia soma;
Niliwahi kutembelea Soko la Uyole kwa ajili ya mahitaji...ndiyo kipindi tozo imepamba moto na tukiwa Tumeambiwa tuhamie Burundi.

Aisee, akina Mama wa pale sokoni walikuwa na Munkari wa hatari...! Yaani wale si wakuwapa "kiberiti wakae Karibu na sheli". Nimeeleweka. Sitaki Maswali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…