Mbeya: Baada ya Polisi kumshikilia Msanii wa Nyimbo, Sifa Bujune Wenzake watoa wimbo wa Kulaani kitendo hicho

Mbeya: Baada ya Polisi kumshikilia Msanii wa Nyimbo, Sifa Bujune Wenzake watoa wimbo wa Kulaani kitendo hicho

Ndio hivyo hivi kwanini wasiaziche vyama vyao wajiunge pamoja na wengine kutoka CCM, Chadema, wasio na chama tuwape nchi. Waanzishe chama chao. Mwabukusi, Dr Slaa, watakuwa viongozi mzuri kuliko Samia na genge lake. Kwanini tusijaribu wengine.

Nahisi ndani ya miaka miwili tutapata maendeleo makubwa sana badala na visingizio, ngojera, taarabu.
Jamaa wanamsimamo usiyoyumbishwa hizi sifa wanazo wachache sana.
 
Hao wachochezi ngoja wajidanganye. Watakalia ndoo wiki mbili watatoka na akili
 
Vijana wa Mbarikiwa hao wanataka ushauri wa akili kabla hali haijawa hatari
Mke wa Mbarikiwa huyo
Acha waimbe zile nyimbo
Inama nkuchomeke nkupakemafuta
Nkumwagie ndani binjuka juu
Alafu mkiwa majukwaani na wasanii
Wenu hao mnayarudi huku mnachekelea

Ova
 
Salaam Wakuu

Ninacho jua, Watawala hawawezi kuwanyamazisha Watu wa Mbeya.

Watu wa Mbeya ni wapole ila ni watu wenye Ushirikiano na kupendana pia. Hawaogopi wala kutishwa.

Tangu enzi la Nyerere Mbeya imejijengea sifa hiyo.

Waliomkamata Sifa walijua wamemaliza. Bado sana na ndo kwanza kumekucha.

Siasa ya Nchi hii ni ngumu sana na hii Nchi ni Ngumu. Mbeya Mara na Arusha Baba yao mmoja.

Tulia Ackson kaanza kwa Mguu wa kushoto kwenye hili.

View attachment 2754888

Pia soma;
Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi
View attachment 2755031
Thread 'Kisa cha Kikwete kupigwa mawe huko Jijini Mbeya' Kisa cha Kikwete kupigwa mawe huko Jijini Mbeya

Thread 'Vurugu kubwa zazuka Chunya-Mbeya wananchi wadai madini yao!' Vurugu kubwa zazuka Chunya-Mbeya wananchi wadai madini yao!
Ni mbeya tu Arusha hamna kitu
 
Mbeya kuna siku tutaamka tukiwa nchi kamili...wale wajomba wa 44 KJ na kule kyela including wadogo zao wadogo wadogo " wa kujenga nchi" mbozi,itende, uyole tutawadhibiti, tufunge Njia ya kuingia tunduma, ya kutoka makambako na ile yachunya ili Waliobaki wasi advance kutufuata.
 
Mama Samia kayakanyaga
Alidhani kutenda ukatili kwa wanyonge kunawanyamazisha wengine.

Chuki inazidi kukua na matendo yake na serikali yake kunawaibua mashujaa wasiotarajiwa
Bi Tozo nchi imemshinda
 
Shangazi🤗🤗🤗
 
Hizo nyimbo hazitakiwi inatakiwa zile za kina diamond na harmonize za kuibomoa jamii zinazoimbwa na watoto.
Wale ni ajenti wameuza nafsi zao in win win situation mmoja anafaida kwa kupata pesa mwingine anafaidika jamii inapoharibiwa, watoto wadogo wanafunzwa kusikiliza uchafu.
 
Back
Top Bottom