Mbeya: Baada ya Polisi kumshikilia Msanii wa Nyimbo, Sifa Bujune Wenzake watoa wimbo wa Kulaani kitendo hicho

Jamaa wanamsimamo usiyoyumbishwa hizi sifa wanazo wachache sana.
 
Hao wachochezi ngoja wajidanganye. Watakalia ndoo wiki mbili watatoka na akili
 
Vijana wa Mbarikiwa hao wanataka ushauri wa akili kabla hali haijawa hatari
Mke wa Mbarikiwa huyo
Acha waimbe zile nyimbo
Inama nkuchomeke nkupakemafuta
Nkumwagie ndani binjuka juu
Alafu mkiwa majukwaani na wasanii
Wenu hao mnayarudi huku mnachekelea

Ova
 
Ni mbeya tu Arusha hamna kitu
 
Mbeya kuna siku tutaamka tukiwa nchi kamili...wale wajomba wa 44 KJ na kule kyela including wadogo zao wadogo wadogo " wa kujenga nchi" mbozi,itende, uyole tutawadhibiti, tufunge Njia ya kuingia tunduma, ya kutoka makambako na ile yachunya ili Waliobaki wasi advance kutufuata.
 
Mama Samia kayakanyaga
Alidhani kutenda ukatili kwa wanyonge kunawanyamazisha wengine.

Chuki inazidi kukua na matendo yake na serikali yake kunawaibua mashujaa wasiotarajiwa
Bi Tozo nchi imemshinda
 
Shangazi🤗🤗🤗
Your browser is not able to display this video.
 
Hizo nyimbo hazitakiwi inatakiwa zile za kina diamond na harmonize za kuibomoa jamii zinazoimbwa na watoto.
Wale ni ajenti wameuza nafsi zao in win win situation mmoja anafaida kwa kupata pesa mwingine anafaidika jamii inapoharibiwa, watoto wadogo wanafunzwa kusikiliza uchafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…