Mbeya: Baraza la Madiwani wasutwa kwa kutokuwa na lolote la kuonyesha kimaendeleo!

Mbeya: Baraza la Madiwani wasutwa kwa kutokuwa na lolote la kuonyesha kimaendeleo!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,768
Reaction score
2,361

Madiwani wa Mbeya , msikie hayo madongo.

Mnajali posho zenu tu, mmeifanyia nini Mbeya?

Soko lililo ungua tulitegemea Mbeya Shopping Mall!

Mmekaa tu na kusugua mabenci kwa vikalio.

Sasa RC Homera amewapasha vizuri!
 
Acheni chokochoko, CCM mbele kwa mbeleee 🎶🎶🎶🎶
 
Athari ya kuweka CCM kuanzia ngazi ya Kijiji hadi taifa kwa mtutu wa bunduki
 
Hakuna sehemu iliyojengwa hovyo hapa nchini kama Mbeya

Sujui ilikuwaje walipewa hadhi ya jiji? Sielewagi hadi kesho
Mkuu kweli Mimi mwenyewe kwetu Mbeya,Mimi huwa naita Kijiji kikubwa na siyo Jiji.Very disorganized city!
 
Eti wanasugua mabenci na makalio yao [emoji1]

Ova
 
mji wa kufuata barabara tu jiji la ovyo mitaa ya ovyo kabisa Lumbila mwakibete, Ivumwe, Nzovwe, Kalobe, Itende yani ovyo kabisa
 
Hakuna sehemu iliyojengwa hovyo hapa nchini kama Mbeya

Sujui ilikuwaje walipewa hadhi ya jiji? Sielewagi hadi kesho
Kweli kabisa, mji wenye mandhari mzuri unajengwa hovyo na kuuchafua kabisa. Pale mjini mabati yamejazana kutu.
Halafu kinasimama Kimbunge cha pale kudanganya watu.
Sasa natarajia vita takatifu kati ya RC na Mbunge. Maana hao madiwani ni wa mbunge, kila wakati anawaita Dodoma wakamtembelee
 
Mkuu kweli Mimi mwenyewe kwetu Mbeya,Mimi huwa naita Kijiji kikubwa na siyo Jiji.Very disorganized city!
shida ya watu wa mbeya wanajua kila kitu,wanafiki na wabaguzi na matokeo yao ndo hayo.hawana utofauti na akina nshomile.
 
CCM Mbeya wakae chonjo, wamenyea kambi!
mie nilifikiri baada ya kulinyakuwa jiji hili watafanya la maana .Isipokuwa madaraja kama ma wili hivi,mie sijaona.barabara zote za mbeya mbovu .sasa sijui itakuwaje hakya nani.
Mh TULIA ndiye anayepitisha bajeti sasa sijui ukitanguliza kwako ni dhambi?
 
Back
Top Bottom