Mbeya: Baraza la Madiwani wasutwa kwa kutokuwa na lolote la kuonyesha kimaendeleo!

Mbeya: Baraza la Madiwani wasutwa kwa kutokuwa na lolote la kuonyesha kimaendeleo!

Kweli kabisa, mji wenye mandhari mzuri unajengwa hovyo na kuuchafua kabisa. Pale mjini mabati yamejazana kutu.
Halafu kinasimama Kimbunge cha pale kudanganya watu.
Sasa natarajia vita takatifu kati ya RC na Mbunge. Maana hao madiwani ni wa mbunge, kila wakati anawaita Dodoma wakamtembelee
Tulia afikirie namna ya kuboresha majengo ya mji wa Mbeya, na iwe kampeni ya miaka 10.
 
Back
Top Bottom