Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Hata mimi naafiki.Hakuna sehemu iliyojengwa hovyo hapa nchini kama Mbeya
Sujui ilikuwaje walipewa hadhi ya jiji? Sielewagi hadi kesho
CCM Mbeya wakae chonjo, wamenyea kambi!Acheni chokochoko, CCM mbele kwa mbeleee 🎶🎶🎶🎶
Mbeya kuna viongozi hawana maono ya kimaendeleo.View attachment 2662379
Madiwani wa Mbeya , msikie hayo madongo.
Mnajali posho zenu tu, mmeifanyia nini Mbeya?
Soko lililo ungua tulitegemea Mbeya Shopping Mall!
Mmekaa tu na kusugua mabenci kwa vikalio.
Sasa RC Homera amewapasha vizuri!
Madiwani wa hand to mouthMnajali posho zenu tu, mmeifanyia nini Mbeya?
Hawa madiwani wa Mbeya Jiji, kwa kweli wana mono ya kijijini.Madiwani wa hand to mouth
Mkuu kweli Mimi mwenyewe kwetu Mbeya,Mimi huwa naita Kijiji kikubwa na siyo Jiji.Very disorganized city!Hakuna sehemu iliyojengwa hovyo hapa nchini kama Mbeya
Sujui ilikuwaje walipewa hadhi ya jiji? Sielewagi hadi kesho
At least Kyela imepangwa kidogo. Ila kwingine ni takataka kabisaMkuu kweli Mimi mwenyewe kwetu Mbeya,Mimi huwa naita Kijiji kikubwa na siyo Jiji.Very disorganized city!
Fact 100%,Mbeya town pako ovyo sana!At least Kyela imepangwa kidogo. Ila kwingine ni takataka kabisa
Spika naye ni mbungeView attachment 2662379
Madiwani wa Mbeya , msikie hayo madongo.
Mnajali posho zenu tu, mmeifanyia nini Mbeya?
Soko lililo ungua tulitegemea Mbeya Shopping Mall!
Mmekaa tu na kusugua mabenci kwa vikalio.
Sasa RC Homera amewapasha vizuri!
Kama wameumbwa hivyo hata wapelekwe ulaya hawatakuja na jipyaWatembezwe majiji ya hapa hapa Tanzania waone Arusha, Mwanza, Dodoma Iringa na miji mingine ilivyopangwa vizuri
Mbunge wa Mbeya Jiji ana ridhika na kijiji kile kikubwa kiitwacho Mbeya jiji?Spika naye ni mbunge
Kweli kabisa, mji wenye mandhari mzuri unajengwa hovyo na kuuchafua kabisa. Pale mjini mabati yamejazana kutu.Hakuna sehemu iliyojengwa hovyo hapa nchini kama Mbeya
Sujui ilikuwaje walipewa hadhi ya jiji? Sielewagi hadi kesho
shida ya watu wa mbeya wanajua kila kitu,wanafiki na wabaguzi na matokeo yao ndo hayo.hawana utofauti na akina nshomile.Mkuu kweli Mimi mwenyewe kwetu Mbeya,Mimi huwa naita Kijiji kikubwa na siyo Jiji.Very disorganized city!
mie nilifikiri baada ya kulinyakuwa jiji hili watafanya la maana .Isipokuwa madaraja kama ma wili hivi,mie sijaona.barabara zote za mbeya mbovu .sasa sijui itakuwaje hakya nani.CCM Mbeya wakae chonjo, wamenyea kambi!