Kweli kabisa, mji wenye mandhari mzuri unajengwa hovyo na kuuchafua kabisa. Pale mjini mabati yamejazana kutu.
Halafu kinasimama Kimbunge cha pale kudanganya watu.
Sasa natarajia vita takatifu kati ya RC na Mbunge. Maana hao madiwani ni wa mbunge, kila wakati anawaita Dodoma wakamtembelee