Mbeya: Basi la Kampuni ya Shari lapata ajali Mbarali, Watu 9 wapoteza maisha, Polisi wamshikilia Dereva

Barabara ya mbarali to Mbeya town ni mbaya mno hata ukiwa unaendesha gari binafsi inakuhamisha
 
Hili basi haijapita hata miezi miwili lilipata ajali na kuua mtu mmoja. Leo hii napata taarifa limeua tisa? 🤔🤔🤔
 
Nashauri serikali iweke sheria ya kwamba kuwe na vigezo maalumu vya kila dereva wa mabasi makubwa, ikiwemo uzoefu na historia ya kutosababisha ajali. Trafiki wa barabarani asikague tu leseni pekee, pamona na hali ya gari bali pia wasifu (CV) ya kila dereva wa basi kubwa. Tunaeza anza na madereva wa kampuni za mabasi na maarufu kisha tukashuka mpaka ngazi za chini. Hii inaeza saidia kupunguza uzembe na ajali.
 
Ajali ni Moja ya vyanzo vya vifo Tanzania sawa TU na malaria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…