LGE2024 Mbeya: CHAUMMA wafanya pati ya Ubwabwa baada ya Ushindi wa kiti 1 cha Uenyekiti wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

CCM C imejirusha huko baada ya ushindi wao wa kiti 1.

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Mbeya na Wananchi wa mtaa wa Soko kata ya Ruanda jijini Mbeya wamefanya sherehe ya kumpongeza mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma Brian Mwakalukwa akiwa ni mshindi pekee wa nafasi hiyo kati ya mitaa 181 jijini Mbeya.

Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

Akizungumza baada ya sherehe hiyo Mwenyekiti wa mtaa wa Soko, Mwakalukwa amesema kwake ni furaha kupata ushindi kupitia chama ambacho watu wengi hawakudhani kama kingepata ushindi huku akiwaomba wananchi kushirikiana ili kuleta maendeleo katika mtaa huo na nchi kwa ujumla.

Kwa upande wao wanachama wa vyama vingine wamesema ni wakati wa kuunga mkono juhudi za mwenyekiti huyo kwani wanafahamu uchapakazi wa kiongozi huyo.

PIA SOMA
- LGE2024 - CHAUMA yapata ushindi wa kiti 1 kati ya viti 181 Mbeya na kuwa chama pekee cha upinzani kilichopata ushindi mkoani humo
 
Wakuu,

CCM C imejirusha huko baada ya ushindi wao wa kiti 1.

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Mbeya na Wananchi wa mtaa wa Soko kata ya Ruanda jijini Mbeya wamefanya sherehe ya kumpongeza mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma Brian Mwakalukwa akiwa ni mshindi pekee wa nafasi hiyo kati ya mitaa 181 jijini Mbeya.

Akizungumza baada ya sherehe hiyo Mwenyekiti wa mtaa wa Soko, Mwakalukwa amesema kwake ni furaha kupata ushindi kupitia chama ambacho watu wengi hawakudhani kama kingepata ushindi huku akiwaomba wananchi kushirikiana ili kuleta maendeleo katika mtaa huo na nchi kwa ujumla.

Kwa upande wao wanachama wa vyama vingine wamesema ni wakati wa kuunga mkono juhudi za mwenyekiti huyo kwani wanafahamu uchapakazi wa kiongozi huyo.

PIA SOMA
- LGE2024 - CHAUMA yapata ushindi wa kiti 1 kati ya viti 181 Mbeya na kuwa chama pekee cha upinzani kilichopata ushindi mkoani humo
Lo! Waungwana hao. Siku moja wapate zaidi tuwapime.
 
Hiki CHAUMA ndiyo chama sahihi sasa cha Watanzania. Yaani kikiingia madarakani, kila siku wananchi watakuwa wanafanya tu sherehe. Hakutakuwa tena na njaa.

Ila Maccm hayana hata aibu kwenye kuiba kura.
 
Kifutwe TU. Kinachukua ruzuku ya Bure amabayo ni fedha ya umma.
 
Wakuu,

CCM C imejirusha huko baada ya ushindi wao wa kiti 1.

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Mbeya na Wananchi wa mtaa wa Soko kata ya Ruanda jijini Mbeya wamefanya sherehe ya kumpongeza mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma Brian Mwakalukwa akiwa ni mshindi pekee wa nafasi hiyo kati ya mitaa 181 jijini Mbeya.

Akizungumza baada ya sherehe hiyo Mwenyekiti wa mtaa wa Soko, Mwakalukwa amesema kwake ni furaha kupata ushindi kupitia chama ambacho watu wengi hawakudhani kama kingepata ushindi huku akiwaomba wananchi kushirikiana ili kuleta maendeleo katika mtaa huo na nchi kwa ujumla.

Kwa upande wao wanachama wa vyama vingine wamesema ni wakati wa kuunga mkono juhudi za mwenyekiti huyo kwani wanafahamu uchapakazi wa kiongozi huyo.

PIA SOMA
- LGE2024 - CHAUMA yapata ushindi wa kiti 1 kati ya viti 181 Mbeya na kuwa chama pekee cha upinzani kilichopata ushindi mkoani humo
Uchaguzi unatakiwa uwe hivi nchi nzima yaani mtu akishinda watu wanashangilia siyo mtu akishinda watu wanajiuliza ameshindaje ingawa najua hata huyu jamaa hajashinda kihalali ila amepewa tu huo mtaa ili kuondoa Aibu kuwa CCM ipita mitaa yote mbeya ila watu wamefulahi kuwa afadhali angalau hata kamtaa kamoja CCM wameakaachia furaha hapo siyo kuwa kashinda ila kwakuwa wamepewa wapinzani. Nchi nzima inasimanzi na uchaguzi sidhani kama hawa viongozi watspewa ushiriano na wananchi hasa kwenye maswala ya maendeleo hasa kazi za umoja. Hii itadidimiza maendeleo ktk ngazi za mitaa,vijiji na vitongoji. Kwakuwa kwanza 90% ya viongozi wamepita bila kupingwa kwahiyo wananchi hawakupata nafasi yakusikiliza sera mbadala za wagombea
 
Back
Top Bottom