Mbeya city uzembe huu utawagharimu

Mbeya city uzembe huu utawagharimu

Dp800

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,793
Reaction score
3,709
Mbeya city itabidi ijilaumu yenyewe kwa uzembe wa kumruhusu mchezaji wake kufanya ujanja na kuingia uwanjani bila ruhusa ya muamuzi na wakifahamu kua ni kosa kwa mujibu wa sheria za mpira wa miguu kwa kitendo hicho. Ukiangalia video kuanzia sekunde ya 31 utaona wachezaji wa mbeya city wakiwa kumi uwanjani na ikiwa mmoja tayari amepewa kadi nyekundu. Na kwa mujibu wa sheria 3 ya FIFA kipengele cha tatu utaratibu wa kubadilisha mchezaji kosa hilo linaelekezwa kwa mchezaji na sio muamuzi kama wengi wanavyolaumu kwani ni mujibu wa mchezaji kuingia uwanjani pale mchezaji anayebadilishwa naye akiwa nje ya mchezo na sio vinginevyo. Kwa mantiki hiyo benchi la ufundi la mbeay city hawawezi kukwepa adhabu hiyo. nimeambatanisha sehemu ya sheria namba 3 kuhusiana na utaratibu wa kufanya mabadiliko kwenye mchezo wa mpira wa miguu
 
Attachments

  • mbeya city2.jpeg
    mbeya city2.jpeg
    10.5 KB · Views: 71
  • mbeya city.jpeg
    mbeya city.jpeg
    23.3 KB · Views: 65
Nilisema juzi kwenye ile Mechi kati ya Lipuli na Simba, na leo nasema pia kuhusu mechi ya jana kati ya Mbeya City na Yanga, TFF wafanye uchunguzi wa kina, Simba na Yanga ni mafundi wa Kununua mechi au kupanga matokeo. Simba juzi ilinunua mechi na Yanga jana wamenunua mechi. Chunguza kwa makini utagundua hilo.

Kivipi?
Kwa Lipuli sote tuliona, Lipuli iliyocheza kipindi cha kwanza na kuongoza goli moja sio Lipuli iliyocheza kipindi cha pili mpaka goli kurudishwa.

Kwa hili tukio la kipuuzi la Mbeya City, maana yake Yanga wanapaswa(Nahisi) kupewa pointi za bure mezani. Ndio mwelekeo wa sheria za soka ulivyo.
Sasa jiulize ni tukio la uzembe au makusudi? Kama ni uzembe nani alizembea mpaka kila mtu uwanjani awe kimya?, kama ni makusudi basi pesa imetembea ili kosa litendeke na Yanga kuja kuvuna pointi mezani.
 
Mbeya city itabidi ijilaumu yenyewe kwa uzembe wa kumruhusu mchezaji wake kufanya ujanja na kuingia uwanjani bila ruhusa ya muamuzi na wakifahamu kua ni kosa kwa mujibu wa sheria za mpira wa miguu kwa kitendo hicho. Ukiangalia video kuanzia sekunde ya 31 utaona wachezaji wa mbeya city wakiwa kumi uwanjani na ikiwa mmoja tayari amepewa kadi nyekundu. Na kwa mujibu wa sheria 3 ya FIFA kipengele cha tatu utaratibu wa kubadilisha mchezaji kosa hilo linaelekezwa kwa mchezaji na sio muamuzi kama wengi wanavyolaumu kwani ni mujibu wa mchezaji kuingia uwanjani pale mchezaji anayebadilishwa naye akiwa nje ya mchezo na sio vinginevyo. Kwa mantiki hiyo benchi la ufundi la mbeay city hawawezi kukwepa adhabu hiyo. nimeambatanisha sehemu ya sheria namba 3 kuhusiana na utaratibu wa kufanya mabadiliko kwenye mchezo wa mpira wa miguu

Unaweza ukaendelea mbele zaidi na kutuelewesha adhabu stahiki kwa kosa hili kwa Mbeya City ikithibitika walifanya hayo makosa?
 
Nilisema juzi kwenye ile Mechi kati ya Lipuli na Simba, na leo nasema pia kuhusu mechi ya jana kati ya Mbeya City na Yanga, TFF wafanye uchunguzi wa kina, Simba na Yanga ni mafundi wa Kununua mechi au kupanga matokeo. Simba juzi ilinunua mechi na Yanga jana wamenunua mechi. Chunguza kwa makini utagundua hilo.

Kivipi?
Kwa Lipuli sote tuliona, Lipuli iliyocheza kipindi cha kwanza na kuongoza goli moja sio Lipuli iliyocheza kipindi cha pili mpaka goli kurudishwa.

Kwa hili tukio la kipuuzi la Mbeya City, maana yake Yanga wanapaswa(Nahisi) kupewa pointi za bure mezani. Ndio mwelekeo wa sheria za soka ulivyo.
Sasa jiulize ni tukio la uzembe au makusudi? Kama ni uzembe nani alizembea mpaka kila mtu uwanjani awe kimya?, kama ni makusudi basi pesa imetembea ili kosa litendeke na Yanga kuja kuvuna pointi mezani.
Hiyo sababu uliyotaja eti kama uthibitisho kuwa simba ilinunua match ni ya kijinga sana na haina mashiko, kwahiyo we uliamini kwakuwa Lipuli walicheza mpira mzuri kipindi cha kwanza ni lazima waendelee kucheza vile vile? Ndomana ya kuwa na kocha kazi yake ni kusoma mchezo na kubadili mbinu, na second half kocha wa simba alijua hilo na kufanya sub za mapema kabisa ambazo angalau zilibadili mchezo na kuambulia sale

Umenishangaza kweli, kwahiyo mfano match ya man city na man u ambapo hadi half time city anaongoza goli 2 wanarudi second half man utd anashinda 3 na hapo utasema city waliuza match? Simba vs stand utd pia Simba anatoka kuongoza 2 bila ila mwisho wanatoka sare ya 3-3 kwahiyo Simba aliuza match? Simba vs mwadui kwhyo Simba aliuza match? Ac milan vs Liverpool uefa champions half time milan anaongoza 3 bila second half anafungwa yeye napo Ac milan aliuza match?
 
unaangaika kumwelewesha,wajinga ni wengi humu
 
Mbeya city itabidi ijilaumu yenyewe kwa uzembe wa kumruhusu mchezaji wake kufanya ujanja na kuingia uwanjani bila ruhusa ya muamuzi na wakifahamu kua ni kosa kwa mujibu wa sheria za mpira wa miguu kwa kitendo hicho. Ukiangalia video kuanzia sekunde ya 31 utaona wachezaji wa mbeya city wakiwa kumi uwanjani na ikiwa mmoja tayari amepewa kadi nyekundu. Na kwa mujibu wa sheria 3 ya FIFA kipengele cha tatu utaratibu wa kubadilisha mchezaji kosa hilo linaelekezwa kwa mchezaji na sio muamuzi kama wengi wanavyolaumu kwani ni mujibu wa mchezaji kuingia uwanjani pale mchezaji anayebadilishwa naye akiwa nje ya mchezo na sio vinginevyo. Kwa mantiki hiyo benchi la ufundi la mbeay city hawawezi kukwepa adhabu hiyo. nimeambatanisha sehemu ya sheria namba 3 kuhusiana na utaratibu wa kufanya mabadiliko kwenye mchezo wa mpira wa miguu

Acha uyanga, onyesha video iliyoonyesha mbeya city wakifanya huo ujanja.
Hapa wa kuwajibishwa ni refa na wasaidizi wake.
Hata Simba pia msimu uliopita yanga walichukua ndoo kwa tofauti ya magoli na Simba huku simba ikibaniwa point zake 3 ilizotakiwa kupewa kwa kagera kumchezesha mchezaji ambaye hakutaka kucheza. B
Pambaneni tu, hamna jinsi hapo!
 
Yanga mbona hiyo kawaida, wakishindwa uwanjani watapewa hata pointi za mezani, chezea yanga wewe!
Hivi umejishughulisha kusoma alichoandika mleta mada?! Sitaki kuamini Aden Rage alikuwa sahihi kuhusu nyie jamaa!
 
Nilisema juzi kwenye ile Mechi kati ya Lipuli na Simba, na leo nasema pia kuhusu mechi ya jana kati ya Mbeya City na Yanga, TFF wafanye uchunguzi wa kina, Simba na Yanga ni mafundi wa Kununua mechi au kupanga matokeo. Simba juzi ilinunua mechi na Yanga jana wamenunua mechi. Chunguza kwa makini utagundua hilo.

Kivipi?
Kwa Lipuli sote tuliona, Lipuli iliyocheza kipindi cha kwanza na kuongoza goli moja sio Lipuli iliyocheza kipindi cha pili mpaka goli kurudishwa.

Kwa hili tukio la kipuuzi la Mbeya City, maana yake Yanga wanapaswa(Nahisi) kupewa pointi za bure mezani. Ndio mwelekeo wa sheria za soka ulivyo.
Sasa jiulize ni tukio la uzembe au makusudi? Kama ni uzembe nani alizembea mpaka kila mtu uwanjani awe kimya?, kama ni makusudi basi pesa imetembea ili kosa litendeke na Yanga kuja kuvuna pointi mezani.
Pale mpenzi wa taarabu anapojifanya ni mwanasoka ndipo mawazo kama haya huja.
 
Hiyo sababu uliyotaja eti kama uthibitisho kuwa simba ilinunua match ni ya kijinga sana na haina mashiko, kwahiyo we uliamini kwakuwa Lipuli walicheza mpira mzuri kipindi cha kwanza ni lazima waendelee kucheza vile vile? Ndomana ya kuwa na kocha kazi yake ni kusoma mchezo na kubadili mbinu, na second half kocha wa simba alijua hilo na kufanya sub za mapema kabisa ambazo angalau zilibadili mchezo na kuambulia sale

Umenishangaza kweli, kwahiyo mfano match ya man city na man u ambapo hadi half time city anaongoza goli 2 wanarudi second half man utd anashinda 3 na hapo utasema city waliuza match? Simba vs stand utd pia Simba anatoka kuongoza 2 bila ila mwisho wanatoka sare ya 3-3 kwahiyo Simba aliuza match? Simba vs mwadui kwhyo Simba aliuza match? Ac milan vs Liverpool uefa champions half time milan anaongoza 3 bila second half anafungwa yeye napo Ac milan aliuza match?
Jamaa kakurupuka.
 
endelea mbele kusoma hiyo kanuni ama ya FIFA, iwapo refa atabaini mchezo utasimama na mchezaji alyezidi ataondolewa uwanjani na kupigwa direct kick kwa timu iliyozidisha mchezaji ..................hakuna mahali wamesema timu itanya'ngaywa pointi
 
Back
Top Bottom