OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama kawa mabao yetu ya kuchelewa. Tunakuacha unarukaruka weeee na mapepe yako na tu-styles twako. Tunasubiri dakika ya 96 bonge la kojoSawa Mtani. Kila la kheri katika kutafuta bao. π
Mushukuru Mungu Mtani japo huko kusubiria turuke ruke ipo siku itakula kwako.Kama kawa mabao yetu ya kuchelewa. Tunakuacha unarukaruka weeee na mapepe yako na tu-styles twako. Tunasubiri dakika ya 96 bonge la kojo
Zuhura FCJana simba wame wafunga mby city ki halali
Wasio kubali ni hawa wasafirisha mihadarati.
Kwa hiyo ikimtokea dharula mojawapo wa hao uliowaita the best na akashindwa kwenda kuchezesha AFCON, basi maana yake CAF watalazimika kumchukua kilaza?The best referees staged AFCON 2019..waliobakia vilaza. .hata AFCON under 17..marefa wangapi wa Bongo walichezesha. ...
Kama tukienda nje tunafungwa basi hao Mbeya city waombe mechi ya kirafiki hata na Nkana fc ila wajitambulishe wanatokea SomaliaHivi wanaosema Simba inabebwa wanatakaje?? Kwamba kwa akili zao Simba ni timu ya kufungwa tu au?
Yani timu imezifunga club nyingi kubwa kama Al ahly, As vita, J soura, Nkana fc bado mnasema inabebwa?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu kwann wanapenda sana kutumia kigezo kuwa eti ndomaana tukienda nje tunafungwa tano?? kwann hawazungumzii mafanikio?? Kwan Simba ndo club ya kwanza kufungwa 5? mbona al ahaly walitufunga 5 na wao wamepigwa 5?
Acheni uzwazwa bhana [emoji23][emoji23][emoji23]