3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Atakuambia Zahera alitibiwa dakika 7 uwanjani 😀😀😀Rudia tenaView attachment 1087189
Rudia tenaView attachment 1087189
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuambia Zahera alitibiwa dakika 7 uwanjani 😀😀😀Rudia tenaView attachment 1087189
Rudia tenaView attachment 1087189
Yaani ziliongezwa 7, zikachezwa 9. Hapa lazima Lipuli walikuwa wameongezewa dakika wapate goli la piliRudia tenaView attachment 1087189
Sijaedit kiongoz... Jaribu kufuatilia mechi ya lipul vs wazee wa TASAFUmeedit mkuu 😛😀😛😀😀😀
TASAF bhana
Mechi ya Singida vs Mtibwa zimeogezwa dk 7 goli la 2 la ushindi la singida limefungwa dakika 90+9 kwa mkwaju wa Penalty na mpira umeisha dakika 102 hahahahahahahahah ingekuwa SIMBA sasa.
Siginda 2 Mtibwa 1Samahani mkuu naomba matokeo ya singida Vs mtibwa!
Unajua kiingereza?? Maana ameongea kiingereza, tupe uhakika Kwanza ndiio tukuwekee, hatutaki shida za kuja kuombwa na tafsiri yake!Mwenye video ya mahojiano ya kocha wa mbeya city baada ya mechi kuisha tafadhari ebu tuwekee hapa! Nasubiria wakuu
I mean watasema UmeeditSijaedit kiongoz... Jaribu kufuatilia mechi ya lipul vs wazee wa TASAF
Ndio maana Akilimali amewekeza pale kwa sababu ya akili zao fupi. ... Wasikuchoshe mkuuAlitutangulia Nkana tuka come back akatutangulia As Vita tuka come back eti akitutangulia Mbeya City tuki come back tigo pesa app imetumika?
Watapata taabu sanaI mean watasema Umeedit
Naelewa mkuu ndo maana nimeiomba, labda mashabiki puya ndo hawajuiUnajua kiingereza?? Maana ameongea kiingereza, tupe uhakika Kwanza ndiio tukuwekee, hatutaki shida za kuja kuombwa na tafsiri yake!
Fyoko fyoko fyokoLeo Simba mnadroo
Cha KAGERECha mbao
mechi ya Mwisho kati ya Lipuli na Yanga Ziliongezwa Dakika Ngapi?Kila match ambayo mnaona hakuna ushindi ndio zinaongezwa
Waamuzi wa kiume walio wengi kwakweli uwezo wao wa kuchezesha mpira hasa wakati huu tunapoelekea mwisho wa msimu unakatisha kabisa tamaa! Leo kwenye hii mechi, mwamuzi kwa makusudi kabisa ametoa faulo mbili zenye utata na zilizoipa simba ushindi wa bure!
Mnawakatisha tamaa wachezaji na timu kwa ujumla! Haiwezekani Okwi amfuate beki mwenyewe halafu anajiangusha na mwamuzi anatoa faulo yenye utata! Kwa haya maamuzi yenu yenye utata, nina imani mtaishia kuchezesha mechi za simba tu!