enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Lakini tusingefunga ingekuwa halali ee?
Bora hata faulo ya kwanza aliyochezewa Said Dilunga ilikuwa 50/50! ila faulo ya okwi iliyozaa goli la pili, mwamuzi ametudanganya wanamichezo na pia wadau wa soka! Okwi alimfuata mwenyewe yule beki! Hakuna faulo ya aina duniani kote! Goli ni halali, ila ile faulo hapana!