Wasipopata penalty wataongezewa dk 7,9 mpaka 10Kwa penati au goli la kawaida?
Kwani sheria za mpira zinakataa Simba kuongezewa dakika 7,9au10?Wasipopata penalty wataongezewa dk 7,9 mpaka 10
Yote ni magoli ya kawaida, penati, faulo, kona etcKwa penati au goli la kawaida?
Hizo Sheria zina apply kwa timu moja tuu ligi nzima?Kwani sheria za mpira zinakataa Simba kuongezewa dakika 7,9au10?
Unataka kusema hakuna timu ligi kuu iliyoongezewa dakika 7 tofauti na Simba?Hizo Sheria zina apply kwa timu moja tuu ligi nzima?
Kila match ambayo mnaona hakuna ushindi ndio zinaongezwaUnataka kusema hakuna timu ligi kuu iliyoongezewa dakika 7 tofauti na Simba?
Nijibu nilicho kuuliza braza?Kila match ambayo mnaona hakuna ushindi ndio zinaongezwa
Hujaona majibu yangu hapo juu au unajifanya kipofu?Nijibu nilicho kuuliza braza?