Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize yanga make ndo sku hizi wamekuwa match commissioner
Haziwezi kuzidi tatu labda MC wasawazisheZimeongezwa ngapi huko?
Jumapili na Prisons,leo mshakalia na Jumapili mnakalia
Changia babaAsante refaa
Zimeongezwa 4 na wamecheze hadi 95Haziwezi kuzidi tatu labda MC wasawazishe
Sawa tumekusikia, ila mbona mechi zetu zinamalizikaa?Kila mtu ashinde mechi zake
Vyura tumeelewana?
Watasema Simba ilikuwa inatafutiwa goli la tatuZimeongezwa 4 na wamecheze hadi 95
Kwahiyo kuwa mpole
Mpira umeisha Ngap NgapKila mtu ashinde mechi zake
Vyura tumeelewana?
Labda timu pinzani huwa zinasimama then Simba anadumbukiza magori tuuuuhivi hao wanaosema simba anaongezewa mda wanatumia nn kufikiri?hizo dakika km zinaongezwa special kwa simba kwann timu pinzani zisiongeze goli ama zenyewe hazitaki kushinda?au zikiongezwa dkk 5 tuseme izo za simba kwaiyo ziongezwe 5 tena za timu pinzan?hahahaaa
Watasema Simba ilikuwa inatafutiwa goli la tatu
Tatizo unaangalia saa ya TV,huwa hawasimamishi muda refa anaposimamishaZimeongezwa 4 na wamecheze hadi 95
Kwahiyo kuwa mpole
Tatizo unaangalia saa ya TV,huwa hawasimamishi muda refa anaposimamisha