Mbeya city vs Simba SC uwanja wa Sokoine

Samahani mkuu naomba matokeo ya singida Vs mtibwa!
Mechi ya Singida vs Mtibwa zimeogezwa dk 7 goli la 2 la ushindi la singida limefungwa dakika 90+9 kwa mkwaju wa Penalty na mpira umeisha dakika 102 hahahahahahahahah ingekuwa SIMBA sasa.
 
Unajua kiingereza?? Maana ameongea kiingereza, tupe uhakika Kwanza ndiio tukuwekee, hatutaki shida za kuja kuombwa na tafsiri yake!
Naelewa mkuu ndo maana nimeiomba, labda mashabiki puya ndo hawajui
 
Hahahahahahahahahhaa tulia dawa ikuingie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…