Mbeya city vs Simba SC uwanja wa Sokoine

Lakini tusingefunga ingekuwa halali ee?
 
Yani unaeleta hii mifano unaonekana mpira ufuatilii vizr, EPL ndo ligi inayo angaliwa na watu wengi lakini kombe la dunia hakuna refa hata mmoja aliyechaguliwa kwenda kuchezesha.
Inaangaliwa wapi. .labda Bongo na Africa umewahi kufika Ulaya? ?
 
Ni nchi 18 tu kati ya 54 zilizotoa marefarii, kwa hiyo sio kigezo. Go referees go!
The best referees staged AFCON 2019..waliobakia vilaza. .hata AFCON under 17..marefa wangapi wa Bongo walichezesha. ...
 
Professional rubbish
 
Kaombe we uchezeshe hyo michuano
 
Mpoki Mwakinyuke kagusa mpira. ..ndio maana mnapigwa 5,5,4 mkitoka hapa. .kocha wa Mbeya city
Umeangalia mpira ama umeangaliziwa? ule ni mkasi kibaya zaidi hamna deflection yeyote ya mpira.

Tunapigwa tano lakini tumefika robo fainali na tumewapeleka na nyie airport.
 
Shadeeya ee Mnyama kashinda tena bwana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huwa najiuliza Mtani hivi nyie ndio wale mliosema TPL sio saizi yenu. Teh teh.

Au ndio yalikuwa maneno tu ya Managha. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sababu kiukweli goli mnazitafuta kwa tochi.
 
Kwa hiyo timu ya Simba haiwezi kuzifunga timu nyingine zaidi ya yanga na Azamu ?
 
Huwa najiuliza Mtani hivi nyie ndio wale mliosema TPL sio saizi yenu. Teh teh.
Au ndio yalikuwa maneno tu ya Managha. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sababu kiukweli goli mnazitafuta kwa tochi.
Ndio sisi mtani mambo yanabadilika
Halafu swala la kupata magoli kwa tochi ni utaratibu wa hizi timu ndogo ndo zinapelekea Mnyama apate shida, yani wakijua wanacheza na timu bora na kubwa Afrika mashariki na kati basi wanatoa macho maana wanajua wakizubaa watapigwa 4,5,6,au 7 sasa ndio maana wanakaza, lakini wakikutana wenyewe kwa wenyewe wanacheza kawaida tu
Mfano Yanga vs prisons, Yanga vs Biashara, Kagera vs Yanga nakadhalika 😁😁
 
Oooh. Sawa Mtani.

Mjipange kesho na wajela wajela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…