Mbeya City Vs Simba Sports Club: Mbeya City yalala nyumbani kwa goli moja dhidi ya Simba

41' kipindi cha pili Mrisho Ngasa anaonyeshwa kadi ya njano kwa kuchezea vibaya Haruna Niyonzima
 
50' la la Mohamed Samatta anakosa goal la wazi hapa upande wa Mbeya City ilikuwa hatari sana
 
Goli la Kichuya ni offside au inside?
Ingekuwa mnyama ndiyo kafungwa goli hilo, conspiracy theories za Haji zimeshika moto.
Waamuzi hufanya makosa na timu zote huumia na kunufaika na makosa hayo!
 
55 ' Bocco Bocco gooal anakosa hapa ilikuwa yeye na golikipa Fikirini
 
57 'Simba SC wanafanya mabadiliko, anatoka Haruna Niyonzima anaingia Said Ndemla
 
63' Mbeya City wanafanya mabadiliko anaingia Iddy Suleimani
 
70' Emmanuel Okwi anaonyeshwa kadi ya njano kwa kuchezea vibaya Kyaruzi
 
Kona kuelekea Mbeya City... Ambayo haijazaa matunda
 
....tupe uchambuzi mzuri kuhusiana na kasi ya mechi pamoja na uelekeo mzima ni timu gani ime-dominate.
 
Ndemlaaaaa la la anakosa goal la wazi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…