Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapumziko tenaaaWakati wowote mpira utakuwa mapumziko hapa uwanjani Sokoine..
Wakati wowote mpira utakuwa mapumziko hapa uwanjani Sokoine..
Simba kafanya yakeThis is simbaa
Offside imekuwa goli. Makosa ya mwamuzi. Sasa ingekuwa upande wao, badala ya Mwakyembe, sasa wangefika kwa Kassim Majaliwa. Ndiyo Simba haoManunuzi FC wamepata.
Kweli Mkuu, yule Haji ingekuwa imefunfwa simba goli kama lile angefika ikulu kupeleka rufaa yake!Offside imekuwa goli. Makosa ya mwamuzi. Sasa ingekuwa upande wao, badala ya Mwakyembe, sasa wangefika kwa Kassim Majaliwa. Ndiyo Simba hao
Leo Simba fc wamezawadiwa goli la kuotea lililofungwa na Kichuya dhidi ya Mbeya fc. Inabidi Manara atembee na tv tena atuonyeshe.
Kwa hiyo ulitaka sisi Simba tukatae goli?Yanga banaOffside imekuwa goli. Makosa ya mwamuzi. Sasa ingekuwa upande wao, badala ya Mwakyembe, sasa wangefika kwa Kassim Majaliwa. Ndiyo Simba hao
Hapana. Mjue Kuna kupata na kudhulumiwa kwenye maamuzi mabovu. Msifurahie kunufaika tu. Yakiwapata mtulie kama wengine. Huyo Haji anapata nini kwa MwakyembeKwa hiyo ulitaka sisi Simba tukatae goli?Yanga bana
Offside imekuwa goli. Makosa ya mwamuzi. Sasa ingekuwa upande wao, badala ya Mwakyembe, sasa wangefika kwa Kassim Majaliwa. Ndiyo Simba hao
Kweli Mkuu, yule Haji ingekuwa imefunfwa simba goli kama lile angefika ikulu kupeleka rufaa yake!
Leo Simba fc wamezawadiwa goli la kuotea lililofungwa na Kichuya dhidi ya Mbeya fc. Inabidi Manara atembee na tv tena atuonyeshe.
Goli la Kichuya ni offside au inside?
Ingekuwa mnyama ndiyo kafungwa goli hilo, conspiracy theories za Haji zimeshika moto.
Waamuzi hufanya makosa na timu zote huumia na kunufaika na makosa hayo!