Mbeya City Vs Simba Sports Club: Mbeya City yalala nyumbani kwa goli moja dhidi ya Simba

Mbeya City Vs Simba Sports Club: Mbeya City yalala nyumbani kwa goli moja dhidi ya Simba

....tupe uchambuzi mzuri kuhusiana na kasi ya mechi pamoja na uelekeo mzima ni timu gani ime-dominate.
Kwa dakika hizi Simba SC imetawala ila umakini unakosekana kwa washambuliaji wa Simba
 
78' Mzamiru Yassir anakwenda bechi nafasi yake anachukua Mavugo.
 
78' Mbeya City watapata kona kuelekea.. Ambayo haijazaa matunda
 
Victor Hangaya anaingia Mkopi anakwenda bechi upande wa Mbeya City
 
85' bado matokeo ni Mbeya City 0-1 Simba SC
 
Hawa mandaga fijo wasije wakarudisha goli dak za majeruhi na kutunyima raha!
 
88' Shiza Kichuya anakwenda bechi nafasi yake anachukua Mohamed Ibrahim MO
 
90'

3' za nyongeza bado Mbeya City 0-1 Simba SC
 
92' golikipa Aishi anaumia yuko chini.
 
93' Manula yuko chini tena anapatiwa matibabu.

Naam anaonyeshwa kadi ya njano kwa kupoteza muda.
 
Ndemlaaaaa anapiga pale njeee
 
Game imeisha kwa simba kutoka na ushindi wa bao 1 ugenini dhidi ya mbeya city
 
Leo Simba fc wamezawadiwa goli la kuotea lililofungwa na Kichuya dhidi ya Mbeya fc. Inabidi Manara atembee na tv tena atuonyeshe.
 
Back
Top Bottom