Mbeya City Vs Simba Sports Club: Mbeya City yalala nyumbani kwa goli moja dhidi ya Simba

93' za mbungi

Wakati wowote mpira utakuwa umekwisha hapa uwanjani Sokoine..
 
Simba leo, kipindi cha pili dk 15 za mwanzo wamecheza chini ya kiwango,ni jambo ambalo lazima uongozi wa Simba walifanyie kazi
 
Naam mpira umekwisha hapa uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine kati ya Mbeya City na Simba SC

Matokeo Mbeya City 0-1 Simba Sports Club.

Asanteni sana, wenu Ghazwat nilikuwa nikikuletea mpambano huo mwanzo hadi mwisho.
 
Ukitakiwa kumtaja mchezaji anayetakiwa kulipwa mkwanja mrefu kuliko wote VPL basi lazima atakuwa ni OKWI,japo leo hajafunga.Kuna mengi ya kujifunza toka kwake.
 
Offside imekuwa goli. Makosa ya mwamuzi. Sasa ingekuwa upande wao, badala ya Mwakyembe, sasa wangefika kwa Kassim Majaliwa. Ndiyo Simba hao
Kweli Mkuu, yule Haji ingekuwa imefunfwa simba goli kama lile angefika ikulu kupeleka rufaa yake!
 
Kwa hiyo ulitaka sisi Simba tukatae goli?Yanga bana
Hapana. Mjue Kuna kupata na kudhulumiwa kwenye maamuzi mabovu. Msifurahie kunufaika tu. Yakiwapata mtulie kama wengine. Huyo Haji anapata nini kwa Mwakyembe
 
Offside imekuwa goli. Makosa ya mwamuzi. Sasa ingekuwa upande wao, badala ya Mwakyembe, sasa wangefika kwa Kassim Majaliwa. Ndiyo Simba hao

Simple! Mbeya City nadhani ina Msemaji wao Kamshaurini Akaitishe Press Conference alalamike..

Kweli Mkuu, yule Haji ingekuwa imefunfwa simba goli kama lile angefika ikulu kupeleka rufaa yake!
 
Leo Simba fc wamezawadiwa goli la kuotea lililofungwa na Kichuya dhidi ya Mbeya fc. Inabidi Manara atembee na tv tena atuonyeshe.


Wewe Mgonjwa Kweli Kama Jina Lako!

Hivi Manara Kawa Msemaji Wa Mbeya City hata awasemee?
Manara ni Afisa Habari Wa Simba Kwahiyo Timu Pekee anayopaswa Kuisemea ni Simba Kwa Maslahi Ya Simba..

Kawambie Mbeya City Wamtume Msemaji Wao Awasemee...
Manara ni Wa Simba..
 
Goli la Kichuya ni offside au inside?
Ingekuwa mnyama ndiyo kafungwa goli hilo, conspiracy theories za Haji zimeshika moto.
Waamuzi hufanya makosa na timu zote huumia na kunufaika na makosa hayo!

Kuna kuvunja offside, holi walilofungwa Mbeya City leo, walifungwa pia Simba na Mbao kwenye fainali ya Kombe la Shirikisho. Hatukusikia mkizungumzia!
Ni kweli waamuzi hukosei ila sikumbuki Yanga ni lini wameumizwa na makosa ya waamuzi kwa miaka hii miwili mi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…