Mtu aliyemsajiili huyu ni wa kuchunguzwaGo gooal hapana, John Bocco anakosa goal la wazi hapa
Uwanja wa sokoine mbovu mkuu mpira haukai chiniSimba wanacheza fyongo kabisa
Pambana na hali yako mkuu chura fcGoli la Kichuya ni offside au inside?
Ingekuwa mnyama ndiyo kafungwa goli hilo, conspiracy theories za Haji zimeshika moto.
Waamuzi hufanya makosa na timu zote huumia na kunufaika na makosa hayo!
Kabisa. Matopeni muwe mnafanya hivyo hivyo yakiwakuta. Kelele nyingi mno. Game ikiisha, move onPambana na hali yako mkuu chura fc
Pole mkuu. Maana umeumia mno mechi ya jana, mbona wakati akina Tshishimbi na Yondan wanaunawa mpira wadau wenu walisema refa ndo maamuzi yake. Kwanini sasa unapanic?Kabisa. Matopeni muwe mnafanya hivyo hivyo yakiwakuta. Kelele nyingi mno. Game ikiisha, move on
Yalikuwa maamuzi yake kama ilivyokuwa offside ya jana. We have to move on!Pole mkuu. Maana umeumia mno mechi ya jana, mbona wakati akina Tshishimbi na Yondan wanaunawa mpira wadau wenu walisema refa ndo maamuzi yake. Kwanini sasa unapanic?
Big brand Simba SC.. [emoji109]