Mbeya: Deogratius Ndejembi hamuwezi Mkandarasi CHICO. Hata Magufuli alimshindwa. Injinia Bishanga anaonewa bure

Kwa tunao mfahamu na kumjua Bishanga nje ndani tunakushangaa.
Bishanga hakwenda mbeya Kwakua ni mchapa kazi la hasha.
Alipelekwa mbeya Kwakua
1-Kulikua na internal conflict na watumishi wa Songwe. Kelele zilikua nyingi za unyanyasaji. Watumishi walinyanyaswa sana na huyu manager ambae ana tabia ya kujikuta Mungu mtu.
Ukitaka mifano Hai nitakupa.
2-Bishanga ni mashine ya Upigaji.
Meneja huyu linapo kuja kwenye suala la Upigaji na Rushwa yupo vizuri sana na ni kama kuna mtu mkubwa anamtumia kwenye kazi hiyo.
Miradi inayo fanyika mbeya na ilio fanyika Songwe imefanyika chini ya kiwango (ushahidi upo). Ukihitajika nitautoa.
Andiko ni zuri lakini kusema Ndejembi alimuonea aliposema Bishanga Kala hela ya Rushwa kutoka kwa mkandarasi hapo umekwama, Makamu wa Raisi alikua sahihi 100%.
Ukitaka kujua ana nguvu kubwa nyuma yake, mpaka sasa hajachukuliwa hatua zaidi kuna propaganda zinaendeshwa na chaneli maalum za Mbeyars Instagram na Tanroadshq Instagram kumsafisha ili aonekana ni mchapa kazi. Ukiangalia waongeaji ni wale wale wapigaji na wanasiasa wanao mtumia.
Nakumbuka alipokua bado ni kaimu Meneja songwe Majaliwa waziri mkuu mtaafu alifanya ziara Songwe wanasiasa na wapigaji walisimama kumuombea athibitishwe awe Meneja kamili. Kauli ya majaliwa ilikua "mnampigia debe" alizungumza waziri mkuu.
View: https://youtu.be/FLZp7OA6VQ8?si=WLQ3bg2HPDV8rlj2
Tunaojua kwanini alipigiwa sana debe ni kwasababu kwenye issues za mafuta CCM hua wanaenda kuchukua mafuta ya Tanroads, wanachukua magari ya serikali kwa ajili ya matumizi ya chama na wanachukua posho nyingi sana.
Sasa ukimtoa unakosesha watu ulaji. Ni mengi sana fanya ziara mikoa hiyo miwili hoji watumishi kama nilivyo fanya mimi anonymously utajua ukweli.
 
Asulubiwe..!
 
Back
Top Bottom