Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Wewe mtu mfupi mweusi wa Njombe nitafutie Mwanza hapa kwenye udumavu wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mtu mfupi mweusi wa Njombe nitafutie Mwanza hapa kwenye udumavu wenu.
Hii labda inamhusu nyumbu wa Iringa aliyeanzisha mada..
Siwezi kuishi kwenye Kansa Mimi hata siku Moja brooNenda kaishi kama utaiweza, Mwanza watu wanaishi wasio na udumavu wa akili na Mwili.
Kama Elimu ya lishe hamna mtapata akili ya kutumia fursa zinazowazunguka nyie, ngoja tuje huko kwenu nyie walugaluga.Hii labda inamhusu nyumbu wa Iringa aliyeanzisha mada..
Udumavu Wala hauna uhusiano na kukosa chakula Bali lishe duni
Mwanza ilipewa hadhi ya jiji mwaka 2000 na sio 2005Nikuulize wewe,kwani kigeso gani kilitumika kulipa hadhi ya Jiji Mwanza mwaka 2005?
Ndio kwani Elimu ya Lishe inahitaji miaka kutolewa? Sasa hivi jamii zinaelewa na hivyo utapiamlo unapungua..Kama Elimu ya lishe hamna mtapata akili ya kutumia fursa zinazowazunguka nyie, ngoja tuje huko kwenu nyie walugaluga.
Kwa kigeso gani hasa?Mwanza ilipewa hadhi ya jiji mwaka 2000 na sio 2005
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kigezo kama hiki hapa ni Kilimahewa big bite Ilemela, Mwanza👇👇👇Kwa kigeso gani hasa?
Hapo Kuna nini Cha maana zaidi ya hayo ma slums tuu?Kigezo kama hiki hapa ni Kilimahewa big bite Ilemela, Mwanza👇👇👇
View attachment 2658256
Mnajiita green city na hapo kilimahewa, Mwanza mtapaitaje?
Leta mazizi ya huko mbeya kwa walugalugaHapo Kuna nini Cha maana zaidi ya hayo ma slums tuu?
Acha kulinganisha Mbeya na Vimji vya kijinga kijinga cc KitombileMbeya kama mbeya mtoa mada atakua na chuki zake binafsi 🤣🤣
View attachment 2658445
Acha wivu wewe,Kagorofa kamoja ndio kanakuchanganya na kusahau mabanda ya nguruwe kila mahali.
Hivi hapa ni Tanzania kweli au ni cape town kule bondeni kwa Madiba?Kigezo kama hiki hapa ni Kilimahewa big bite Ilemela, Mwanza[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2658256
Mnajiita green city na hapo kilimahewa, Mwanza mtapaitaje?
Mtaendelea kusema ni jo' berg kabisa.Hivi hapa ni Tanzania kweli au ni cape town kule bondeni kwa Madiba?
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app