Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Lindi kiuchumi iko nyuma sana ila imepangika hatari Mkoa wenye mapato makubwa kama Mbeya serikali inakwama wapi? Mbeya Lazima ifanyiwe transformation watu wanabisha tu hapa ila ukweli wanaujua.

Ebu angalia Tanga Bara bara ya kwanza mpaka ya kumi na saba huko ziko well arranged mitaa inaeleweka, utulivu wa kutosha.

Nenda Dodoma Suburbs zilivyopangwa huko kisasa, ilazo, Area A, Area C, Area D, Mliwa C mpaka city centre

Rudi Arusha na Mwanza Mjini mpangilio ni poa japo slums pia zipo.

Sasa Mbeya kuanzia sai, ilomba, soweto kidogo afadhali, isengo, nzovwe, kabwe, Mwanjelwa yote ni takataka, kila kitu kipo hapo hapo yani vurugu tupu machinga, bajaji, boda, vumbi yaani ni Remix


Ila kwa dala dala nzuri sijaona wakuizidi mbeya Tanzania hii dala dala coaster safi hazinuki kama za Dar au kuchakaa kama za dodoma na Arusha.
 
Mbeya litabakia ni jiji na litaendelea kuitwa Green City. Wewe kenge nenda kaponde chupa unywe, ila Mbeya ni Jiji, period
 
hapa ni center ya jijiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…