Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Watu wengi hawaishi huko, wanaishi kwenye haya mabanda.Nenda Mwanza tembelea hii Mitaa, Bwiru press,capripoint,isamilo,kabuhoro,Nyasaka,ibanda, Nyegezi majengo,Kiseke,,Mwananchi, Nyamhongoro,,Shadi,hiyo ni baadhi tu halafu tuje tuongee vizuri kuhusu Mbeya na vumbi lenu,plus nyumba za tembe katika ya kijijini chenu