Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

Watu wengi hawaishi huko, wanaishi kwenye haya mabanda.
 
Watu wengi wa Dar wanaishi huku, halafu unakuta mtu anaicheka Mbeya. Ukilinganisha makazi ya watu wengi, Mbeya ina makazi bora sana.
 
Mbona nishawahi kula wali wenye HAMIRA/AMIRA

Huko kiepe kiuzwa cheap sana.

Kama bado kuko hivyo hivyo hadi Leo basi hadhi ya Jiji ishushwe.
 
Mzee tunaongelea jiji la mbeya wewe uneleta habari za igawa.
Utaacha lini excuses 😁πŸ€ͺπŸ€ͺ
Haters ni hater tuu si ajabu umekurupuka πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Kuna Mbeya bypass km 48.9 ndani ya Jiji
 
Utaacha lini excuses [emoji16][emoji2957][emoji2957]
Haters ni hater tuu si ajabu umekurupuka [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kuna Mbeya bypass km 48.9 ndani ya Jiji
Ila serikali inabidi iangalie upya sifa za kuwa jiji! Tanga na Mbeya inabidi zirudishwe kuwa Manispaa ni aibu sana nchi kuwa na majiji ya namna hiyo. Otherwise serikali itenge pesa nyingi kuyajenga hayo majiji mawili,sasa kweli unakuwa na jiji ambalo hata soko tu ni mtihani.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wewe umeona Kuna tatizo gani?
 
Kwa hiyo hivyo vitu vidogo ndio sifa za Jiji?
Kwahiyo ni sawa kuwa na jiji halina soko wala stend?mimi nimeshauri kwa nia njema kuwa serikali itenge pesa iwajengee hiyo miundombinu muhimu kwa jamii. Mbona Mwanza,Dodoma na Dar wamewajengea masoko na stend za kisasa? kwanini wasijenge Arusha, Tanga na Mbeya? ili na hayo majiji yapendeze. Tuseme kweli tu Mbeya na Tanga hazikupaswa kuwa majiji yalikuwa bado sana.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Toa upumbavu hapa,mnalala kwenye mabanda ya nguruwe huko milimani harafu unaongea ushenzi wako..

Mwanza hakuna Mji ni uswazi Kila sehemu
Mpaka utaondoka kwenye dunia hii utaendelea kuishi Nkasi maana huna hadhi ya kuishi Jiji kama Mwanza. Utabaki ukipata vijisenti unakuja kutoa tongotongo Rocky City nyau wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…